Sudan Kusini yamuunga mkono Trump

Sudan Kusini yamuunga mkono Trump

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,237
Reaction score
17,540
Hali inayotokea Sudan ya weusi inasikitisha sana. Baada ya kujitenga na Sudan ya weupe hali yao ni kuchinjana tu kila siku.

Baada ya wazungu kuwadanganya wajitenge sasa hivi wazungu wameikumbatia Khartoum na kuiacha Sudani ya weusi ikihangaika.

Trump alituambia waafrika bado akili zetu zina "ukungu utosini". Kauli hiyo inadhihirika Sudan Kusini.

Sijui ilikuwaje EAst African wakaikaribisha Sudan ya hivi kwenye jumuiya yao, au wote ni walewale?
 
Back
Top Bottom