Sudan Kusini kujiunga na EAC Julai

Sudan Kusini kujiunga na EAC Julai

Dhambi ya ubaguzi...vipi hawa wa kaskazini wanakuwa ndugu zangu mimi na si ndugu zako pia?
Mimi nimezoea Waafrika wote ni ndugu.
Binadamu wote ni ndugu.

Toka lini Mwarabu akawa rafiki na Mwafrica mwenye ngozi nyeusi, tuwe wakweli hao jamaa urafiki wao ni wa kinafiki tu, pale penye maslahi ndio wanajifanya marafiki ili wakuvune. Imewachukua miaka mingi Sudan ya kusini wakinyanyaswa na kuwawa kwenye ardhi yao. Hao Waarabu wana umoja wao wa nchi za Kiarabu, wewe ngozi nyeusi hugusi huko wanakuona kama nyani tu. Tambua nafasi ya mwafrica kwa wakati huu, kwa fikra hizi tunaendeleza dhana ya weusi kuwa vijakazi wa white and brown colours. Tubali ukweli umoja wa ngozi nyeusi na mwarabu ndani ya Africa wala hauna maana na wala hatuendi kokote.
 
Wewe fisi kama hujui kitu acha kuongea ujinga wako hapa, mbaguzi mkubwa na pambaf..maana arab league ni umoja wa nchi zinazoongea kiarabu
na ndio maana hata sudan na wangazija(jirani zetu) japo ni weusi lakini wanaongea kiarabu wamo katika umoja huo..u r ignorant
 
Hawa waachwe kwanza wajenge Institutions zao, waone jinsi ya kujitawala kulivyo kutamu lakini kugumu, La sivyo yatakuja kuja mambo kama ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Watu kukumbuka vinchi vyao vidogo vidogo, wakati wameshakuwa na nchi moja kubwa tu.
 
Wewe fisi kama hujui kitu acha kuongea ujinga wako hapa, mbaguzi mkubwa na pambaf..maana arab league ni umoja wa nchi zinazoongea kiarabu
na ndio maana hata sudan na wangazija(jirani zetu) japo ni weusi lakini wanaongea kiarabu wamo katika umoja huo..u r ignorant
Jirani zetu wapi hao?
 
Waache waje tusaidie kujenga Taifa lao kwani ni ndugu zetu, Sudan ya Kaskazini hawana msaada wowote kwao. Wanahitaji uzoefu wetu

Nchi zote za Afrika Mashariki zimeoza kwa ufisadi...list iko hivi;

  1. Kenya
  2. Tanzania
  3. Uganda
  4. Rwanda
  5. Burundi
Sasa huo uzoefu unaozungumzia hapa ni upi? wa kuiba mali ya umma? labda tuwape uzoefu wa kuingia mikata mibovu nk
 
They are good people with a lot of potential. Let them join the group, they may vivacity the EAC.
 
Back
Top Bottom