Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,602
- 22,707
His approach is "to cross the river when he gets there". No clear strategy for now.
hv hizi picha si huwa zinakuwa na wahariri imekuaje haikuhaririwa
Ukiangalia filamu nyingi za kitanzania, utakuta mwongozaji, mtunzi, mhariri, mzalishaji, n.k ni mtu mmoja (huyo huyo). Kwahiyo si rahisi kugundua makosa madogo madogo. Kama wangelikuwa ni watu angalau watatu tofauti basi uwezekano wa kukosea au kufanya makosa makubwa ungepungua!
wakitaka movie zetu ziwe na soko wabadilike, vijana wachuo hawana ajira wakati ajira zipo kibao no kama hizi.
Tatizo ni pesa za kuwalipa! Hii ni sababu inayowanya wabane matumizi.
mkuu lakini ujue hatujaamua kuinvest vya kutosha kwenye industry hii, lakini ni among ya sehemu kwenye pesa nyingi sana, sema na wei nao wanaiharibu sana.