Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Mkusudiwa kamaliza shughuli tayari tena anakwambia akiupenda khaswa.Lugha ilotumika ilikuwa inavutia ujumbe unafika vizuri.Hebu tujaribu na huu nikikwama tia neno
Njiwa peleka salamu uu ooh kwa yule wangu muhibuuu
Ukifika aaa muelezee kwamba ninapata tabu uu
Pendo langu halijaishaaa..........
cc: Angel Nylon
Ha ha haaaa. My ndo mambo yangu hayo mie.nimejaribu hapo chini kumbe nimechapia
Wahenga ni story tu hzo, hakuna wahenga...et wahenga walisema chanda chema huvikwa pete, wakat wema ndo watesekaoSubira yavuta heri... #wahenga
Hujakosea hiyo avatar yake inaonyesha huyo njiwa khaswaaa.Upoleee... upole ni ngao yangu
Nakusubiri ii. ...Nakusubiri sichoki ii
Subira aaa...subira ni ngao nakusubiri ii. ..Nakusubiri sichoki
Iwe safi moyo wanguu. ...ooh wangu.....
Sina kinyongo na chukiii ooh chukiii....
Wabaya nafurahiaa. .sikwambii marafiki...wabaya nafurahiaa sikwambii marafiki.....
(Leo nimeamua kuwaburudisha na za kale)
Wahenga ni story tu hzo, hakuna wahenga...et wahenga walisema chanda chema huvikwa pete, wakat wema ndo watesekao
🙂🙂🙂naroga tu ..mtaalamu tena ni mimi mwenyewe
Mmh kumbe nimesema leo ni burudani
Nilikuja mbio kupata maknowledge yako,,,kumbe Leo umegeuka Issa Matona lol!!!Upoleee... upole ni ngao yangu
Nakusubiri ii. ...Nakusubiri sichoki ii
Subira aaa...subira ni ngao nakusubiri ii. ..Nakusubiri sichoki
Iwe safi moyo wanguu. ...ooh wangu.....
Sina kinyongo na chukiii ooh chukiii....
Wabaya nafurahiaa. .sikwambii marafiki...wabaya nafurahiaa sikwambii marafiki.....
(Leo nimeamua kuwaburudisha na za kale)
Kwel mtu wahenga syo..walishakula kona kitambo, wakaatuacha na misemo yao..hahaaaaaaa wahenga nao kuna mda wanatuchanganya kweli kweli
Sauti mbayaaaGere mama Gere mamaa....Gere maaama Gere mama wanionea Gere!...watautwanga mtama waulime wenyewe eee....
Nguo ya kuazima haisitiriiii mwiliii.wewe mtu wa mia watakao elfu nnee...dau lako na mia wataka elfu mbilii ...yale nilokwambia sasa yameshatimiaa.....fahari eeh ndio mama wa ujingaa
Gere mama! Gere mama!
THANK YOU MUUNGWANA SASA NIMEANZA KUAMINI WEWE NI MUTU YA HIKIMA.Upoleee... upole ni ngao yangu
Nakusubiri ii. ...Nakusubiri sichoki ii
Subira aaa...subira ni ngao nakusubiri ii. ..Nakusubiri sichoki
Iwe safi moyo wanguu. ...ooh wangu.....
Sina kinyongo na chukiii ooh chukiii....
Wabaya nafurahiaa. .sikwambii marafiki...wabaya nafurahiaa sikwambii marafiki.....
(Leo nimeamua kuwaburudisha na za kale)
Duh!kitambo hicho mambo mazuri ya zamani.Unajua mwenza karibuni utatoka hospital utokapo tafadhali fika mjini umtafute mpaka umwone mchumba wangu Clara....nyumbani anapoishi ni
Mbona hueleweki? Wimbo au wewe mwenyewe? Mi director wa muziki lakini siwezi imba. Niwekee sauti yako kwenye uzi huu ili tukusikie tutaamua. Mshana jr. atakuwa chief judge.wimbo mmbaya,sababu kwenye outro umeninyima korabo hata yakunirusha kama zile nyimbo za kikongo haujafanya