bado sijakupata,ni muziki,shairi,ngonjera au....?Upoleee... upole ni ngao yangu
Nakusubiri ii. ...Nakusubiri sichoki ii
Subira aaa...subira ni ngao nakusubiri ii. ..Nakusubiri sichoki
Iwe safi moyo wanguu. ...ooh wangu..
Sina kinyongo na chukiii ooh chukiii
Wabaya nafurahiaa. .sikwambii marafiki...wabaya nafurahiaa sikwambii marafiki.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
(Leo nimeamua kuwaburudisha)
Haaahaaa, nimechekaje.. Uwiii, Jf kiburudisho haswa when I have long hours of working looh hhaaaahha.. I think ni Taarab, mambo ya Pwani..hahaaaa.... Thanks..bado sijakupata,ni muziki,shairi,ngonjera au....?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] naroga tu ..mtaalamu tena ni mimi mwenyeweAngalia usisubiri sana...ngoja ngoja huumiza matumbo. #Wahenga
Angalia usisubiri sana...ngoja ngoja huumiza matumbo. #Wahenga
"Mvumilivu hula mbivu, ila akisubiri sana hula mbovu" #wahengaSubira yavuta heri... #wahenga
Unaloga mtu asiyekutaka bro? Heri useme utajipanga upya.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] naroga tu ..mtaalamu tena ni mimi mwenyewe
Mmh kumbe nimesema leo ni burudani [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Upoleee... upole ni ngao yangu
Nakusubiri ii. ...Nakusubiri sichoki ii
Subira aaa...subira ni ngao nakusubiri ii. ..Nakusubiri sichoki
Iwe safi moyo wanguu. ...ooh wangu.....
Sina kinyongo na chukiii ooh chukiii....
Wabaya nafurahiaa. .sikwambii marafiki...wabaya nafurahiaa sikwambii marafiki.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
(Leo nimeamua kuwaburudisha na za kale)
Nimetunga mwenyeweUmechapia Toz ni Zuwenaaa. ..Zuwenaaa nitampata wapi ii
Mtoto aliyeumbika mwenye tabia za kupendezaa....
Haha...unaona sasa mambo yako!Hahaha ni Subira sio subiani
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana Jr umeniibia trak yangu, wanaJf hiyo ngoma niliitoa muda na ilikuwa nimshirikishe Mshana sasa naona kaiweka hewani kabla na hajasema mim ndiye mtunzi, kweli cjapendezwa, naenda mahakaman kudai haki yangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gere mama Gere mamaa....Gere maaama Gere mama wanionea Gere!...watautwanga mtama waulime wenyewe eee....bado sijakupata,ni muziki,shairi,ngonjera au....?