Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,548
If me I were you, siwezi hata kumtamkia namtaka au nampenda but atajikuta tu yeye ndo anabwabwaja yote hayo. Na mzigo ananipa ndio anaanza kuhangaika ooo mi nakupenda...naulaje ndugu? tupeane techniques maana nimejaribu sana, nikamwambia anipe chance even a minute nimhug na vitu vyetu vileee, akaniuliza ntafeel je kama nina girlfriend akafanya ivyo kwa boy mwingine?
basi tu nilikuwa navuta subira hasinione napenda penda, nilitaka nije nimwambie "sijakupenda leo nimekupenda long time, na kila nikikuona napata hisia za kuoa".Kwani ulikuwa unasubiria nini mda wote huo?
ok, thanksIf me I were you, siwezi hata kumtamkia namtaka au nampenda but atajikuta tu yeye ndo anabwabwaja yote hayo. Na mzigo ananipa ndio anaanza kuhangaika ooo mi nakupenda...
Ji evaluate mkuu
Pole kijana ila sometimes inatokea ila ikitokea chance nyingine usilaze damu.basi tu nilikuwa navuta subira hasinione napenda penda, nilitaka nije nimwambie "sijakupenda leo nimekupenda long time, na kila nikikuona napata hisia za kuoa".
nshajifunza, no another mistake againPole kijana ila sometimes inatokea ila ikitokea chance nyingine usilaze damu.
et eeh! inaezekana lakini maana wengine mmesoma saikolojia, unampima mtu kulingana na maneno yakeAnakudanganya huyo hana mtu..
Ila angalia usije ukavunja promise yako.nshajifunza, no another mistake again
usijali ndugu, ikitokea opportunity nakufa nayoIla angalia usije ukavunja promise yako.
Kila LA kheri kijanausijali ndugu, ikitokea opportunity nakufa nayo
Alikuwa anachunguza kama ni bikraKwani ulikuwa unasubiria nini mda wote huo?
asante nduguKila LA kheri kijana
Unajua sometimes bora umwambie MTU ukweli ili ujue moja kama unachekechwa au unakubaliwa tuAlikuwa anachunguza kama ni bikra
Wengine wanawaweka wanawake kwenye mzani sasa mpaka pande zote zi balance........wenzio washamuweka kwenye target wanalenga shabahaUnajua sometimes bora umwambie MTU ukweli ili ujue moja kama unachekechwa au unakubaliwa tu
asante mkuu, ila najua kwanini unasema ni shida, maana mafemu wazuri full kupeana stress, mi akinikubalia ntakuwanae for pleasure not as a future wifeHuyo unambabua vizuri tu Ila usijiweke mazima, hao watoto wa Kinyarwanda ni shida
Hahaha anatafuta balance wakati wengine tayari kajaa kwenye target mwisho wa siku manzi anakuja kukutambulisha bwana wake. Utasikia huyu ndio shemeji yakoWengine wanawaweka wanawake kwenye mzani sasa mpaka pande zote zi balance........wenzio washamuweka kwenye target wanalenga shabaha