Subaru forester 4 sale---arusha

Subaru forester 4 sale---arusha

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,486
Reaction score
1,272
SUBARU FORESTER 2000 4WDTOUGH SUV

ALL DUTY & TAXES - PAID

DETAILS:

YEAR/ MONTH 2001

DISPLACEMENT 2000cc

STEERING Right

TRANSMITION Automatic

FUEL Gasoline/Petrol

REG #:T *** BEC
COLOUR Black

MILLEGE 93000

Anti-Lock Brakes / Airbags / Power Windows / Rear Window Wiper / Tinted
Glass / A/C: front / Power Steering / Remote Keyless Entry / AM/FM Stereo /
TV, DVD player, / Alloy Wheels/Mud flaps/ New spare tyre/ Jack / Power Door
Locks / Power Mirrors /Fog lights/Adjustable lights /Rear tinted
windows/Manual guide/Navigation guide / No accidents

iko na Turbo,MOMO sports steering wheel,na sport muffler

price 9M
DSC00736.JPG DSC00737.JPG DSC00745.JPG DSC00739.JPG

for purchases or enquiry PM me.
 
kaka kama mtu yupo mtwara kuna uwezekano wa kuletewa? vp gharama ya mafuta na ww ni dalal au owna
 
nakushauri uifwate tu uje uoione,au kama una mtu unayemwamini aje akague,ukubali lilivyo ndipo tuongee biashara,sidhani kama nitakuwa na muda wa kusafiri hadi mtwara,kazi inabana.
 
nakushauri uifwate tu uje uoione,au kama una mtu unayemwamini aje akague,ukubali lilivyo ndipo tuongee biashara,sidhani kama nitakuwa na muda wa kusafiri hadi mtwara,kazi inabana.

Poa ujanijibu kama we ni dalali au? afu bei ya mwisho ni ngapi mi nataka gari hyo kwa 6 vp au ngoja kama nkipata rut ya moshi end ov this manz may i come r chuga right?
 
lngekua manual tungeongea biashara kwani nataka hii kitu
 
lngekua manual tungeongea biashara kwani nataka hii kitu

Ingekuwa manual bei ibgeongezeka zaidi ya hapo. Hata hivyo hiyo subaru ni bei chee na ushuru wa hiyo ni gari ukiagiza ni kama bei inayouzwa na huyo jamaa.

Fuatilia ushuru wa subaru www.gariyangi.com uone jinsi ulivyo.

Mr. Miela kama unaipenda ongea biashara na jamaa kuliko kusema ingekuwa manual.
 
Last edited by a moderator:

Naitaji manual na ndo maana nikasema hivyo
 
Last edited by a moderator:
kama kuna aliye serious anitafute,only seroius buyers,kama ni bargaining,atleast show your interest for viewing then ndo nijue napunguza ngapi.
 
Vipi kula TZS 6m tumalize biashara maake hiyo ni ndoa ya kikiristo, kuuza tabu sana gar hiyo maake jamii ina matazamo mbaya na Subaru.
 
Mkuu ni ndoa ya kikiristo tumalize biashara kwa hiyo TZS 6.0M na unaweza kunipigia au SMS kwa namba 0784331100,0759331100 na 0658331100 Ndugu Mihayo B. K
 
Ingekuwa manual bei ibgeongezeka zaidi ya hapo. Hata hivyo hiyo subaru ni bei chee na ushuru wa hiyo ni gari ukiagiza ni kama bei inayouzwa na huyo jamaa.

Fuatilia ushuru wa subaru www.gariyangi.com uone jinsi ulivyo.

Mr. Miela kama unaipenda ongea biashara na jamaa kuliko kusema ingekuwa manual.

Mkuu hizo details za ushuru kwenye www.gariyangi.com ni za zamani (out of date) - ingia kwenye mtandao wa TRA kupata mpya (2012/13).
 
Finally ,its SOLD too good aliyenunua ni wa hukuhuku JF,,,hongera kwa kuopoa mchuma
 
Finally ,its SOLD too good aliyenunua ni wa hukuhuku JF,,,hongera kwa kuopoa mchuma

mkuu ile discovery bado unaongea na mama watoto kwanza? Tehetehee!!
Nimeifanyia test drive juzi, not bad kwa ile engine. . .
 
Back
Top Bottom