Subaru Fans Special Thread

BG857171_a86378.jpeg
BG857171_644d41.jpeg
embu leteni mazuri na madhaifu ya hii(Trezia). Naona ina CC 1500 tu. Na bei ni cheap.(usd 2000-4000)

Mad Max
 
Mimi nimeitumia gari hio kwa miaka kama 3 hivi na haikunipa changamoto yoyote kubwa ila cha msingi ilikua ni kufuata tu masharti yake.

1.Inakula engine oil sana so hapo uwe tayari ku-top up mara kwa mara na uwe njema kwny wese...
Subaru na altezza kuna tofauti sana katika kuendesha.ipi inafurahisha kuendesha?
 
Subaru na altezza kuna tofauti sana katika kuendesha.ipi inafurahisha kuendesha?
Subaru ipi ?
Unaposema Subaru ni sawa na useme Toyota maana Subaru zipo za Aina tofauti Ila kama ni foresta Vs alteza hiyo alteza ni ya kawaida Sana tena haiwezi kushindana Kwa lolote dhidi ya foresta..
Pia ukija Kwenye Subaru legacy Vs alteza bado legacy IPO juu zaidi ya alteza
 
Kuna yoyote humu anayemiliki Subaru legacy station wagon, manual transmission ya 2002 tubadilishane maujanja?
 
Subaru ipi ?
Unaposema Subaru ni sawa na useme Toyota maana Subaru zipo za Aina tofauti Ila kama ni foresta Vs alteza hiyo alteza ni ya kawaida Sana tena haiwezi kushindana Kwa lolote dhidi ya foresta..
Pia ukija Kwenye Subaru legacy Vs alteza bado legacy IPO juu zaidi ya alteza
Mzee inategemeana forester au legacy iko powered by injini gani..? Ej20 au ej25..? Nahiyo altezza ni powered by 1gfe au 3sge au 2jzgte...
Umeelewa...???sio kuidharau tu tezza
 
Back
Top Bottom