Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Nimeangalia hata beforward ni chache sana pia mkuu.. sijui hadi siku napata hela zitakuwepo bado 😀😀😀Bongo ziko chache na shida wengi hawazijui vzur cost mostly bongo wanunuzi wa magari n kwa usafiri na show off wachache sanaa anaagiza au kununua gari na kujua undani ktk ubora na faults za gari husika but tuko buzy sanaa na maisha pia eboo🤣🤣🤣
