Subaru Fans Special Thread

Kijana anayeendesha ist na kijana anayeendesha Forester..ni watu wawili tofauti kimtazamo..

Wa subaru ana mitazamo ya starehe...wa ist utakuta ana mitazqmo ya maisha ya miaka hamsini ijayo..
Niamini mimi
Hahahaaaa sawa mkuu nimekusoma
 
Ukikuta mtu hazielewei gari hizi (subaru), ni mzee yaani 45+++years or wivu + ushamba.

Ni gari ambalo stable + durable.

Mungu nisaidie nimnase huyu mnyama niachane na TYT.
Vijana wa chuga wqnazipenda....eti za kuopolea watoto wazuri..??

Halafu vijana wengi wanaoendesha hizi..akili zao huwa haziwazi mipango ya maisha...

Akili inatekwa na kile kibuyu kinachokoroma pale nyuma
 
Ukikuta mtu hazielewei gari hizi (subaru), ni mzee yaani 45+++years or wivu + ushamba.

Ni gari ambalo stable + durable.

Mungu nisaidie nimnase huyu mnyama niachane na TYT.
Sio mpnz sana wa subaru lkn nikihamia upande huo nitapendelea subaru imperezza wrx STI 2004 ingawa Mazda rx8 yangu ilizitesa sana subaru wrx,hizi sti ndo zilinisumbua kiaina.
 
Najivunia sana kumiliki Subaru Legacy B4 Twin Turbo RSK Class, najivunia mno...nikiwa mitaani napenda mlio wake kama Simba nyikani na nkiwa road highway trip ya mkoa kwa mkoa siku nimechafukwa nyongo ninavyoikurupua hatari japo mara nyingi mwendo wangu huwa ni wa wastani. Huwa naridhika nikipitwa na V8 tu lakini si aina nyingine yeyote ya Toyota.
 
M
Sio mpnz sana wa subaru lkn nikihamia upande huo nitapendelea subaru imperezza wrx STI 2004 ingawa Mazda rx8 yangu ilizitesa sana subaru wrx,hizi sti ndo zilinisumbua kiaina.
Mkuu hiyo Mazda rx8 naielewa Sana Ila TATIZO ni Ile kubeba mtu mmoja Tu Sisi wenye familia ya watu wengi ni mtihani
 
Najivunia sana kumiliki Subaru Legacy B4 Twin Turbo RSK Class, najivunia mno...nikiwa mitaani napenda mlio wake kama Simba nyikani na nkiwa road highway trip ya mkoa kwa mkoa siku nimechafukwa nyongo ninavyoikurupua hatari japo mara nyingi mwendo wangu huwa ni wa wastani. Huwa naridhika nikipitwa na V8 tu lakini si aina nyingine yeyote ya Toyota.
 
M

Mkuu hiyo Mazda rx8 naielewa Sana Ila TATIZO ni Ile kubeba mtu mmoja Tu Sisi wenye familia ya watu wengi ni mtihani
Bro.. hata zingekuwa zinabeba watu 20.. still RX8 ni GARI MBOVU na hazifai kbisa... kwa matumizi yetu hapa TZ... mafundi wachche sana wa rottery engines,spare parts.. kitu ambacho kinaumiza kichwa #KIPUSA...

pia hata ukitaka kufanya Engine swap maybe utoe rottary utie things like 1jz or 2jz.. or even 3sgte.. au uendeee far back kwa ej20.. huwezi.. kutokana na setup nzima ya ile gari otherwise upasuke zaidi.... mfukoni..

rx8 nyingi utazikuta gereji
 
Mimi nimeitumia gari hio kwa miaka kama 3 hivi na haikunipa changamoto yoyote kubwa ila cha msingi ilikua ni kufuata tu masharti yake.

1.Inakula engine oil sana so hapo uwe tayari ku-top up mara kwa mara na uwe njema kwny wese.

2.Ina shida ya flooding so solution ilikua lazima kila siku u-rev mpk kwny redline,ukifanya hivyo hutaona shida yake.

Niliuza ikiwa na km za kutosha tu na mhindi niliyemuuzia ameshaifikisha km 135,000 hivi na haijamsumbua so far,ingawa wanasema ikifika km 100,000 engine ni ya kubadilisha lkn mshkaji anadunda nayo.

Na hizo changamoto hapo juu kwangu sikuona kama ni inshu sana kwa gari ya cc 1300 kunipa hp 238.,nili enjoy sana mwendo wake na weight distribution ya 50-50 kwny kona hakuna kupunguza mwendo

Kwny rx-8(13B) sijaona mods za maana ila kwny mazda rx-7(renesis) naona zimefanyiwa modes za maana nyingine mpk HP 700 zinafikisha fresh tu.,kuna RX-7 nimeiona kule be forward naona wame-swapp 1JZ-GTE

Ni vile hela sijaokota pesa la sivyo ningenunua MAZDA RX-7 na sijakosea hapo i mean RX-7.
 
Back
Top Bottom