Sub uffer yangu nashindwa kusikiliza Radio

SALADY

JF-Expert Member
May 8, 2015
220
196
Jaman nisaidieni sub woofer yangu inakubali dvd,mp3 ila radio imekataa. Nifanyeje jaman? Mwanzo nilikua nasikilza radio ila tangu juz kila nikiweka fm na search lakin hamna chochte.
 
Mkuu Dalton kiukweli umenichekesha. Kwenye heading ulianza na "sober ufa" na mwisho ukamalizia kwa "sab ofa". Ungeendelea kukoleza maneno kwa kuchomekea maneno kama "ziba ufa", "zipu ofa", "saboofa" "sabuufa" n.k.
 
Mimi nilimwelewa lugha za watu shida aiseee
 
Jaman nisaidieni sab ofa yangu inakubali dvd mp3 ila radio imekataa. Nifanyeje jaman? Mwanzo nilikua nasikilza radio ila tangu juz kila nikiweka fm na search lakin hamna chochte.

Aerial itakuwa imekatika/imechomoka
 
Mimi nilimwelewa lugha za watu shida aiseee

Huwa sielewi kwa nn mtu anatumia lugha sio yake akikosea ukimsema anakasirika anajitetea sio lugha yake. Nimeona na anapata watetezi. Sasa kwa nn tu usitumie lugha yako? Mkiambiwa mnapenda vya kuiga mnakuwa mbogo. Tumia tu lugha yako utaeleweka kuliko kujikweza hlf unashushwa. NOT GOOD
 
Mkuu Dalton kiukweli umenichekesha. Kwenye heading ulianza na "sober ufa" na mwisho ukamalizia kwa "sab ofa". Ungeendelea kukoleza maneno kwa kuchomekea maneno kama "ziba ufa", "zipu ofa", "saboofa" "sabuufa" n.k.

Kuna ndugu mmoja yeye huiita "kabufu":D:thumbup:
 
Imenichukua muda sana kufikiria kufungua huu uzi..maswali yalikuwa mengi..baada ya kufungua nimeishia kicheko...mhhh JF
 
He pamoja na kuelekezwa kote kule kabadili heading na bado amechapia..hii sasa kusudi
 
Huwa sielewi kwa nn mtu anatumia lugha sio yake akikosea ukimsema anakasirika anajitetea sio lugha yake. Nimeona na anapata watetezi. Sasa kwa nn tu usitumie lugha yako? Mkiambiwa mnapenda vya kuiga mnakuwa mbogo. Tumia tu lugha yako utaeleweka kuliko kujikweza hlf unashushwa. NOT GOOD

Mfano wewe kwa lugha ya kikwako subwoofer ungeiitaje?
 
Du bora ungeaacha kama mwanzo ndo umeharibu kabisa bila shaka utakuwa msambaa ww
 
Sasa miye nimekuelewa ingawa sijali makisa ya herufi uliyodanya,kwanza nataka kujua je umeangalia ule waya wa antena ama fm au am kama pengine umechomoka?
 
Back
Top Bottom