Tatizo la watu wanaongelea mapenzi binafsi kisa tu Gunman hachezei timu zao."Nlikuwepo":bolt:Nimekusoma sana mkuu kwa nyongeza kwani spain hawana timu zinazoitwa na baadh ya wadau et tim ndogo? Jibu ni zipo hata ushindan spain n mdogo tofaut na uingereza wajama.
Unazungumzia msimu huu ama na misimu mingine alokutana na hizo timu?ushawahi kumwona akishambulia mechi kubwa kubwa kama ya chelsea,man city na arsenal?huwa haonekani kama yupo uwanjani
Nahisi wao wanamfananisha Suarez wa sasa na Diego costa wa sasa,labda mleta mada atusaidie hapa..Wajama mnazungusha mno suarez hajazifunga tim kubwa msimu huu 2 msimu uliopita alisawazisha gol kwa chelse ikawa draw ya 1-1 anfild kisha 2-2 stamford bridge, man city pia alifunga gem zote etihad 2-2 gol alifunga kwa fauro kisha anfild pia 2.2 sasa mnataka nn kingine msadiwe tatzo mme kariri.
Who is better?
Diego Costa noma,Suarez anakuzwa na vyombo vya habari,mfano mzuri kina Aguero,Navas na Negredo walikuwa hawajulikani mpk wamekuja Man City wamekuzwa na BBC ila walikuwa wazuri toka mwanzo walipokuwa Spain,kina Soldado wote walikuwa hawatajwi leo wa2 wanawajua,hata Suarez alipokuwa Ajax Amsterdam wa2 walikuwa hawamjui na hata aliposhika mpira wc 2010 vs Ghana wa2 walikuwa hawamjui ila leo Sky News inamfanya awe nyota,kifupi Costa zaidi kwangu.
mi nafuatilia la liga hadi wachezaji wa elche na granada wote nawajua,sisubiri mpk sky sports ikuze wachezaji waowewe huyo dieg costa umemfahamu lini?
mi nafuatilia la liga hadi wachezaji wa elche na granada wote nawajua,sisubiri mpk sky sports ikuze wachezaji wao
waingereza wana kasumba hiyo,hata hao waliwika kutokana na umahiri wa FC Barcelona,na england kwa ligi ya Spain wanakuza timu 2 wanazitangaza na kiasi kwamba utasikia wa2 wanadai ligi ya spain haina upinzani 7bu timu 2 na wanajaa mpk el clasico ndio wengi wanaangalia mechi hiyo tu,kwahiyo ni vigumu kifaa kutoka Rayo Vallecano au zaidi ya timu hizo el clasico mchezaji kuchezea kujulikana,wewe unadhani hao uliowataja wangekuwa sio Barca au AC Milan kuwaona ktk UEFA Champions ligi ungewajua?lakini Suarez UCL hajacheza akiwa na Liverpool lakini tayari maarufu,kinyume na la liga kama hawajakuona ktk UCL hautajulikana,eg kina Falcao kajulikana ktk UCL na kuwafunga Chelsea ktk super cup hat tric,ndio utakuta Aguero hajawahi kucheza na Atetico Madrid UCL hakujulikana mpk kaja England,Torres alikuwa Atletico Madrid nae hakujulikana mpk kaja England,kina Cazorla,Navas,Negredo na kadhalika.kaka kufuatilia la liga co kufuatilia wachezaji.Mbona akina ETOO,GAUCHO,MESS NA KAKA Walijulikana kwa umahili wa mchezo wao bila kupitia uingereza kaka acha wvu suarez nouma
waingereza wana kasumba hiyo,hata hao waliwika kutokana na umahiri wa FC Barcelona,na england kwa ligi ya Spain wanakuza timu 2 wanazitangaza na kiasi kwamba utasikia wa2 wanadai ligi ya spain haina upinzani 7bu timu 2 na wanajaa mpk el clasico ndio wengi wanaangalia mechi hiyo tu,kwahiyo ni vigumu kifaa kutoka Rayo Vallecano au zaidi ya timu hizo el clasico mchezaji kuchezea kujulikana,wewe unadhani hao uliowataja wangekuwa sio Barca au AC Milan kuwaona ktk UEFA Champions ligi ungewajua?lakini Suarez UCL hajacheza akiwa na Liverpool lakini tayari maarufu,kinyume na la liga kama hawajakuona ktk UCL hautajulikana,eg kina Falcao kajulikana ktk UCL na kuwafunga Chelsea ktk super cup hat tric,ndio utakuta Aguero hajawahi kucheza na Atetico Madrid UCL hakujulikana mpk kaja England,Torres alikuwa Atletico Madrid nae hakujulikana mpk kaja England,kina Cazorla,Navas,Negredo na kadhalika.