Suarez v diego costa

Suarez v diego costa

wote walatino, wote wanatoka america kusini, wote wanacheza ulaya. Mmoja kafunga goli 19 mechi 11 mmoja kafunga 19 michezo 19. Mmoja anauza magazeti kuliko mwingine Wote wakali ila Suarez mkali zaidi.
 
suarez hatar kaka maana ndo mchezaji pekee dunian kufunga goli 10 ndan ya mwez mmoja hatariii!!
 
suarez hatar kaka maana ndo mchezaji pekee dunian kufunga goli 10 ndan ya mwez mmoja hatariii!!

magoli yenyewe dhidi ya cardf,c'palac,na vbnd vngne!y acfunge dhdi ya man u,arsnl,chelsea,man cty na tm kubwa nyngne?pumbv 2 hy hana lolt
 
Mshambuliaji cfa yake ni kufunga magoli,kumbuka kuna mabeki wazur pia kama ambavo walivo washambuliaji kama ls7
 
Zombi anaonea timu ndogo ndogo tu, hivyo Costa anatisha zaidi.
 
Aseno imeelekeza jicho lake kwa Costa kwa sasa, naamini itamsajili majira haya ya joto ama msimu ujao
 
Suarez ni hatari sana kwa sasa, mnaosema Costa moyoni najua nani bora
 
japo suarez hafungi timu kubwa ila magoli yake ya akili nyingi kwa tunaofatilia ligi zote kubwa twamjua suarez ni goal machine tangu ajax
 
Unataka afunge goli la aina gani ili ujue kama El Pistorelo ni mkali? 22 goals on 16 games.Kawafunga stoke leo bao mbili,hao stoke wakimfunga chelsea ambaye alimfunga liverpool.Uzuri wa epl kibonde wako ndio mbabe wa mwenzio.
Mpaka sasa hajashinda goli la penalt,kwanza anafunga timu ya taifa mpaka huku kwenye club.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Luis Suarez kafunga magoli msimu huu hakuna hata mja aliyofunga kwa Penalt. diego costa Mzuri ila hamfikii suarez na LFC walivyomtaka Diego Costa kwa 26million wengi waliwaona wajinga ila brendan Rogers aliona watu ambacho hawakukiona sasa hivi Diego Costa ni million 40 pound. luis suarez zaidi ya costa amefunga magoli bila suarez bila Penalt moja.
 
Wanauwezo wa kumsajiri costa labda wauze wachezaji wa4
Nafikiri Arsenal wanaouwezo wakumnunua Diego Costa na wakimpata uwezo wa ubingwa itakuwa mkubwa kwao ila uwezo wa kutompata Atletico madrid nao wanajaribu kuweka history la Liga na yupo CL Pengine Summer watampata ila ukweli Luis Suarez ni mkali. Kafunga Carlton Cole magoli vs big team ila haimaanishi Carlton cole mkali mpira sio game zone zinakubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom