Ina maana huelewi maana ya vyeti feki eeh?
Mkuu kuna kitu ujaelewa kuna wengi wenye vyeti feki Na wengine walitumia hivyo vyeti kujiendeleza navyo wengine ni madaktari sasa wengine walisomea vyeti vya watu wengine Na sasa ni viongozi wakubwa tu hii vita ni kubwa sana akuna atakayeweza kuimaliza maana watekelezaji Wa mapambano wapo kwenye muuanga huo
Ingekuwaivo dunia isingekuwa hapa mahali ilipo ndio maana ikaja minzani na helaMtu hapimwi kwa shahada na cheti bali ni jinsi gani anatumia elimu aliyoipata inavyofanya kazi na kuleta maendeleo.Kama ni shahada na cheti tunao wengi tu na kazi wanazozifanya matokeo tunayaona.
SAMAHANI. hivi mnapisema mtu alighushi cheti au jina la mtu na akasoma fomh siksi na chuo kikuu mpaka akapata thb je huko kote alikua anaghushi na hana akili? NIELEZENI WAKUU WASOMI. NA KAMA NI PROFESA AMEFUNDISHA MPAKA WALIO MAPROFESA HANA AKILI? NSIKUAGA MWANASYANJ EISTEN ALIFUKUZWA ETI HAJUI HESABU?Na je ana sifa za kusoma chuo kikuu??
Nafuu umewasaidia watekelezaji kujua kuwa walioajiriwa wengi wana vyeti feki.Nikuulize tena kuwa na cheti ni kipimo cha ufanisi?
Mbona wenye vyeti feki wengi wameajiriwa huku wenye vyeti halisi hawana kazi ?
Ili awe na sifa ya kusoma chuo kikuu, ni lazima awe amefaulu vizuri elimu za chini. Je kiongozi huyu alifaulu na kuwa na vigezo hivyo?? Tuliosoma naye tunajua na tunashangaa aliwezaje kusoma chuo kikuu huria na kufaulu??SAMAHANI. hivi mnapisema mtu alighushi cheti au jina la mtu na akasoma fomh siksi na chuo kikuu mpaka akapata thb je huko kote alikua anaghushi na hana akili? NIELEZENI WAKUU WASOMI. NA KAMA NI PROFESA AMEFUNDISHA MPAKA WALIO MAPROFESA HANA AKILI? NSIKUAGA MWANASYANJ EISTEN ALIFUKUZWA ETI HAJUI HESABU?
Halafu mbona hamuwazungumzii na wale form IV's then degree without form six or diploma, hao nao VP, majina tunayo
mungu wangu, wanacheza na maisha ya wagonjwa hawaNi kweli watoe namba tuwatajie mimi kuna mtu namjua ni nurse hospitar ya rufaa mbeya tena ana cheti cha diploma wakati hakusomea nurse nilivyomuuliza alisema ametafutiwa na mjomba wake hicho cheti na kazi anajifunzia kazin maana alikuwa hajui kitu.
Nashangaa sn kuona member anawapinga watoa taarifa ya watumishi wenye vyeti fake, ila ukitaja mambo ya siasa anashadadia utadhan kapata mwenza, acheni kutetea maovu, hata Kaliua wapo na majina ninayo, vijana wana vyeti hawana kazi, wapumbafu wachache wanaforge na kuingia ktk Utumishi wa umma kwa njia za panya, mm ningekuwa na namba ya magufuli au balozi kijazi ningekuwa naforward ujinga unaofanyika ktk halmashaur ,mfano Kaliua DC
Sasa kama mtu ana masters na vyeti vya sekondari amefoji.
Ameajiriwa na anafanya kazi kwa ufanisi mkubwa na pengine ni tegemeo katika taasisi au idara utamfukuza kazi ?