....suala la MAENDELEO Jmos hii!

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
wakazi wa DAR napenda kuwashirikisha hili: leo naenda KIMANZICHANA nasikia kuna mashamba yanauzwa bei poa...afu nitarudi niende MADALA...nako kuna deal la viwanja bei ni poa pia!..
tushirikiane katika suala hili la maendeleo wana Jf!

WOTE mnakaribishwa!
 
dah...mkuu Bagah....nipo Dar kwa ajili ya shughuli hiyo hiyo......nadhani tutakutana huko.....
 
dah...mkuu Bagah....nipo Dar kwa ajili ya shughuli hiyo hiyo......nadhani tutakutana huko.....

safi sana...asee ardhi ni mali...na kila siku thamani yake iko juu!..ngoja nikacheki ntakuja na majibu humu!..japo mvua nasikia imenyesha,huwa ikinyesha hapapitiki...
 
Back
Top Bottom