Pia msigina kunguniNi kweli kofia mbili mtu ni Hakimu lakini ni kada kindaki ndaki na chawa pia
Ni muda wa makampuni kuandaa new price list. Kuna masuala mengine si ya kuongeaWatajuana wenyewe. Mama keshawaambia vitu vyote vitapanda bei.
Tujiandae na kutembea kwenda makazini. Maana kauli nyingine kama kiongozi kuzitoa ni kama kutoa mwanya kwa walanguzi kupandisha bei vitu.
Najua comment yangu ni nje ya mada lakini ndio frustration za maisha tena.
vibaya mnoKwasababu Masters na PhD nyingi ni za mchongo
Hahaaa uchawa nchi hii imekuwa kama laana.
Mtu ana Masters au PhD lakini haamini katika hiyi elimu zaidi ya Uchawa kwanza
Haumo mjomba , wewe lipwa elfu 7 ili upige kelele jfHunijui wewe chawa wa Mbowe kwa hiyo kaa kimya na hiyo poor judgement yako.Unawajua wenye CCM wewe?
Angekuwemo Wala asingekua humu anashupaza shingo, Kuna watu angewatumia Kama yeye anavyotumiwaHaumo mjomba , wewe lipwa elfu 7 ili upige kelele jf
Mimi nakulipa wewe na vijakazi kama wewe 10 kila mwezi bila tatizo lolote. Nilikupa challenge ya kulipa kwenye charity yeyote utakayochagua ulipe milioni 5 mimi nitalipa mara 2 yake.Haumo mjomba , wewe lipwa elfu 7 ili upige kelele jf
Kwa hiyo na wewe unatumiwa?Wengine tupo hapa kama hobby tu.Angekuwemo Wala asingekua humu anashupaza shingo, Kuna watu angewatumia Kama yeye anavyotumiwa
Upenyo wa kushusha lawama kwa kushindwa kudhibiti mfumko wa bei. Sasa Putin ndio kisingizio kikuu huku tukilanguliwa.Watajuana wenyewe. Mama keshawaambia vitu vyote vitapanda bei.
Tujiandae na kutembea kwenda makazini. Maana kauli nyingine kama kiongozi kuzitoa ni kama kutoa mwanya kwa walanguzi kupandisha bei vitu.
Najua comment yangu ni nje ya mada lakini ndio frustration za maisha tena.
Sioni tatizo maana hata huko Afrika Kusini. Rais si Mwenyekiti wa chama. Na akiharibu mambo huwajibishwa na chama chake cha ANC.Taarifa kutoka CCM zinadokeza kwamba katika maandalizi ya chaguzi za ndani yameibuka mapendekezo kwamba Mtu mmoja hapaswi kuwa na vyeo viwili , kwa mfano huwezi kuwa RC halafu ukawa kiongozi wa chama , au ukawa Mbunge halafu uwe tena Mwenyekiti wa CCM popote wilayani au mkoani
Bali kisichofahamika ni iwapo suala hilo litamgusa hadi mwenyekiti wa Taifa au la .
Haya mambo yaliwahi kuibuliwa na kuzimwa wakati wa awamu ya 4 , Je safari hii yatawezekana ?
Chanzo : Raia Mwema
Kwi Kwi Kwi !Mimi nakulipa wewe na vijakazi kama wewe 10 kila mwezi bila tatizo lolote. Nilikupa challenge ya kulipa kwenye charity yeyote utakayochagua ulipe milioni 5 mimi nitalipa mara 2 yake.
Ukaingia mtini.Mimi sio level yako.Siishi kwa uchawa kama wewe. Kazi yako kubwa ni kuanzisha mada zisizo na kichwa wala miguu.
Ni muhimu sasa kupitia mfano wa Magufuli, Rais asiwe mwenyekiti wa chamaKama ni kweli basi Mama asikubali, hao wanaolilia kofia mbili kutenganishwa wana lao jambo chini ya kapeti, swala la kujiliza je ni kwa nini iwe sasa ? kuna nini ndani ya CCM.
Huo mshikamano wa mwenyekiti kuamua atakavyo hauko ccm, uko pande zenu zile.
Na hapa ndipo udikteta ndani ya ccm ulipo,ila warekebishe baada ya mama kumaliza mudaTaarifa kutoka CCM zinadokeza kwamba katika maandalizi ya chaguzi za ndani yameibuka mapendekezo kwamba Mtu mmoja hapaswi kuwa na vyeo viwili , kwa mfano huwezi kuwa RC halafu ukawa kiongozi wa chama , au ukawa Mbunge halafu uwe tena Mwenyekiti wa CCM popote wilayani au mkoani
Bali kisichofahamika ni iwapo suala hilo litamgusa hadi mwenyekiti wa Taifa au la .
Haya mambo yaliwahi kuibuliwa na kuzimwa wakati wa awamu ya 4 , Je safari hii yatawezekana ?
Chanzo : Raia Mwema
Bwashee, wanaccm wanapozungumzia masuala ya chadema huwa mnapenda kuwaambia kuwa hayawahusu kwa kuwa chadema siyo chama chao; sasa wewe mwanachadema mambo ya ccm yanakuhusu nini? Si uwaachie ccm wenyewe watayamaliza!Taarifa kutoka CCM zinadokeza kwamba katika maandalizi ya chaguzi za ndani yameibuka mapendekezo kwamba Mtu mmoja hapaswi kuwa na vyeo viwili , kwa mfano huwezi kuwa RC halafu ukawa kiongozi wa chama , au ukawa Mbunge halafu uwe tena Mwenyekiti wa CCM popote wilayani au mkoani
Bali kisichofahamika ni iwapo suala hilo litamgusa hadi mwenyekiti wa Taifa au la .
Haya mambo yaliwahi kuibuliwa na kuzimwa wakati wa awamu ya 4 , Je safari hii yatawezekana ?
Chanzo : Raia Mwema