Suala la Kofia mbili laibuka tena CCM

Suala la Kofia mbili laibuka tena CCM

Amesalimu amri mkuu wenu.Nyie vichawa vya JF hamna impact yeyote.
You are just a piss in the Mississipi hambadili chochote.Mtabakia keyboard warriors.
Kelele zenu hazitabadili chochote.
 
Ni news hii? Mbona tangu awamu ya tano chini ya Dk. Magufuli ilifanyika! Waliokuwa na vyeo viwili walipunguziwa kimoja. Kuhusu ngazi ya Uenyekiti Taifa rejeeni msingi uliowekwa wakati Mwalimu Nyerere anang'atuka Uenyekiti kwa kumkabidhi Mzee Mwinyi Agosti 16, 1990.

Hilo lilishadajiliwa sana tangu wakati wa Mwalimu ikaamuliwa: #Huwezi kutenganisha kofia ya Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa. Uamuzi sahihi kabisa huu na unadumu. CCM ni taasisi yenye historia na mfumo wake imara. Kwa hiyo Rais wa nchi ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, nyingine ni porojo tu mitandaoni!🙏🙏🙏
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kama ni kweli basi Mama asikubali, hao wanaolilia kofia mbili kutenganishwa wana lao jambo chini ya kapeti, swala la kujiliza je ni kwa nini iwe sasa ? kuna nini ndani ya CCM.
Hujauliza weka ?
 
Taarifa kutoka CCM zinadokeza kwamba katika maandalizi ya chaguzi za ndani yameibuka mapendekezo kwamba Mtu mmoja hapaswi kuwa na vyeo viwili , kwa mfano huwezi kuwa RC halafu ukawa kiongozi wa chama , au ukawa Mbunge halafu uwe tena Mwenyekiti wa CCM popote wilayani au mkoani

Bali kisichofahamika ni iwapo suala hilo litamgusa hadi mwenyekiti wa Taifa au la .

Haya mambo yaliwahi kuibuliwa na kuzimwa wakati wa awamu ya 4 , Je safari hii yatawezekana ?

Chanzo : Raia Mwema
watenganishe tu.maana hii inazingua.Yamemkuta Mr Ndungai
 
Hivi sorry kidogo; bwana Albert Chalamila baada ya kuteuliwa kua RC wa Mbeya, aliachiaga uenyekiti wa ccm mkoa wa Iringa sio? SIkuwahi kumuona tena akijishughulisha na mambo ya ccm mkoani Iringa. Mwenye kumbukumbu tafadhari
 
Kama ni kweli basi Mama asikubali, hao wanaolilia kofia mbili kutenganishwa wana lao jambo chini ya kapeti, swala la kujiliza je ni kwa nini iwe sasa ? kuna nini ndani ya CCM.
Unaandika kama haupo duniani!.

Kila jambo na wakati wake.
Kwani ulipata kufikiri Rais wa Tanzania atafariki akiwa madarakani ila si katika wakati ambao hukujua?.

Kwa nini muda wa kuolewa/kuoa unafika na unalazimika kufanya hivyo?, why usifanyiwe ukiwa hujui ukija kuwa na akili timamu ukute mambo ni muswano!.

Na BiM mwenyewe hakujua kama atachukua nafasi hii aliyopo maana hapo nyuma ilikuwa aondoke but wakamsihi so, kila jambo na wakati wake, huwezi fahamu ni sasa au baadaye.
 
Unaandika kama haupo duniani!.

Kila jambo na wakati wake.
Kwani ulipata kufikiri Rais wa Tanzania atafariki akiwa madarakani ila si katika wakati ambao hukujua?.

Kwa nini muda wa kuolewa/kuoa unafika na unalazimika kufanya hivyo?, why usifanyiwe ukiwa hujui ukija kuwa na akili timamu ukute mambo ni muswano!.

Na BiM mwenyewe hakujuq atachukua nafasi hii aliyopo maana hapo nyuma ilikuwa aondoke but wakamsihi so, kila jambo na wakati wake, huwezi fahamu ni sasa au baadaye.
Ohoooo !!!
 
Back
Top Bottom