Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,813
- 284,942
- Thread starter
- #21
Ohooooo !!!Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.....
Ohooooo !!!Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.....
Comment yako sio nje ya mada ni muhimu kwa ustawi wa wananchi kuliko hao wanaogombsnia vyeo!Watajuana wenyewe. Mama keshawaambia vitu vyote vitapanda bei.
Tujiandae na kutembea kwenda makazini. Maana kauli nyingine kama kiongozi kuzitoa ni kama kutoa mwanya kwa walanguzi kupandisha bei vitu.
Najua comment yangu ni nje ya mada lakini ndio frustration za maisha tena.
hiyo ndio itapunguza uchawa hiyo system mbona hata ANC ndio wako hivyo ndio maana walikua na nguvu ya kuwaondoa maraisi Thabo mbeki na Jacob Zu
Wenye chama ni wanachama, wakiamua anakataaje?Kama ni kweli basi Mama asikubali,
mshikamano wetu ndani ya chama ni ule ule na utamaduni wetu ni ule ule - asiyetaka basi atupishe.Wenye chama ni wanachama, wakiamua anakataaje?
Kwa wana CCM wenzangu, hakuna mwenyekiti aliyeko madarakani anaweza kukubali eti ajivue uwenyekiti wake- ili iweje? ili tuanze kumwita na kumtisha tisha kwenvye vikao !! kwa sasa Maza yupo gado, hapa ndugu zangu tushanoa, tupangeni jengine.Wamechelewa!
Kwa mwenyekiti waliyenaye kwa sasa,wanatakiwa wapitishe vyote vilivyoshindikana awali
Kama ANC tu,Rais akiwa na nyendo sizo, chama kinamuita ajieleze kama wanachama wengine halafu kinafanya maamuzi kitu ambacho hakiwezekani ndani ya CCM kwa sasa.
Huo mshikamano wa mwenyekiti kuamua atakavyo hauko ccm, uko pande zenu zile.mshikamano wetu ndani ya chama ni ule ule na utamaduni wetu ni ule ule - asiyetaka basi atupishe.
Hahahahaaa. Wakifa wataheshimiana kuzimu au?Acha wauane, ndipo waheshimiane
Hakimu,Kada na Chawa. Hizi mbona tatu mkuu sio mbili?. HahahaaaaaNi kweli kofia mbili mtu ni Hakimu lakini ni kada kindaki ndaki na chawa pia
usitukumbushe ya jobo ndugu, unatutia simanzi - nimekosa sana mimi, nimekosa saana.Huo mshikamano wa mwenyekiti kuamua atakavyo hauko ccm, uko pande zenu zile.
Katika wenye ccm wewe haumo kabisaaaaa !!!Inferiority complex ni udhaifu mbaya sana.Source kweli iwe Raia Mwema?
CCM wakiamua jambo lao utajua tu hamna haja ya kubwatuka na kukimbilia uzushi.
Hunijui wewe chawa wa Mbowe kwa hiyo kaa kimya na hiyo poor judgement yako.Unawajua wenye CCM wewe?Katika wenye ccm wewe haumo kabisaaaaa !!!
Dah! We jamaa umewaza mbali sanaHayo ya kwenye Chama Chao ni wenyewe na Katiba zao, ingawa mimi kama mwananchi nisiye na Chama kwenye huduma za kijamii sipendi kuona Makada wakifanya hizo kazi sababu badala ya kuhudumia wananchi wanafanya kampeni na kuhudumia chama chao
Mbaya zaidi mimi nakasirika huku kitaa watu wana vipara let alone Kofia hata moja..., Hao waliopo madarakani watengeneze Sera za angalau kila mtu apate hata nuso kofia au ka-leso ka kujifunika kipara chake
Kwasababu Masters na PhD nyingi ni za mchongoHahaaa uchawa nchi hii imekuwa kama laana.
Mtu ana Masters au PhD lakini haamini katika hiyi elimu zaidi ya Uchawa kwanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli kofia mbili mtu ni Hakimu lakini ni kada kindaki ndaki na chawa pia
Taarifa kutoka CCM zinadokeza kwamba katika maandalizi ya chaguzi za ndani yameibuka mapendekezo kwamba Mtu mmoja hapaswi kuwa na vyeo viwili , kwa mfano huwezi kuwa RC halafu ukawa kiongozi wa chama , au ukawa Mbunge halafu uwe tena Mwenyekiti wa CCM popote wilayani au mkoani
Bali kisichofahamika ni iwapo suala hilo litamgusa hadi mwenyekiti wa Taifa au la .
Haya mambo yaliwahi kuibuliwa na kuzimwa wakati wa awamu ya 4 , Je safari hii yatawezekana ?
Chanzo : Raia Mwema