Suala la Katiba mpya lisicheleweshwe

Suala la Katiba mpya lisicheleweshwe

lahe

Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
77
Reaction score
56
kwa mazingira ya kisiasa ya sasa suala la katiba mpya ni suala la kiusalama serikali ipambane kuifumua iliyopo ili kujenga mazingira mapya ya kisiasa na kuridhiana. chonde chonde mchakato wa Katiba mpya uanze immediately kwa kuuutungia sheria kwa vile Bunge lipo.
 
Haki yetu ya kuchagua na kuchaguliwa haitapokwa na yeyote.

Tunalitaka Sanduku la kura lisilonajisiwa.
 
kwa mazingira ya kisiasa ya sasa suala la katiba mpya ni suala la kiusalama serikali ipambane kuifumua iliyopo ili kujenga mazingira mapya ya kisiasa na kuridhiana. chonde chonde mchakato wa Katiba mpya uanze immediately kwa kuuutungia sheria kwa vile Bunge lipo.
Wazo lako zuri sana, tusichotaka wananchi ni kupotosha katiba pendekezwa iliyobeba mawazo ya wananchi kama ile 'ya Wariba'.

Kama kutakuwa na Bunge la Katiba la mipasho kama lile la 2013 lililozaa UKAWA, hatutaki, ni heri ibakie iliyopo hadi hawa ving'ang'a watakapofurushwa kwa nguvu ya umma.

Tuepuke kabisa kukubali kutengenezewa katiba ya kulinda maslahi ya viongozi wa Ccm na kuacha maslahi ya umma mpana.
 
Katikanna wezi ni kitu kigumu.
 
Kwa Tanzania hatuwezi kupata nguvu ya umma
 
Back
Top Bottom