Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,261
Una maanisha nini ukisema bila kuhusisha Sex,Embu nipe maana ya Gender bila kuhusisha Sex
Hiyo ni Gender IdentityGender Ni internal sense of being a man or womb-man.
Nje njemba ndani shosti.
Nje bebe ndani Msela tu.[emoji23][emoji23]
Vyanzo vya ndani vikiyumba hata ufiche vipi matokeo tutayaona tu.
Hiyo ni Gender Identity
Kwahiyo wewe ukiwa unajiona paka maana yake wewe utakuwa ni paka?Unawezaje kuongelea namna unavojiona na kuwa huru namna ulivyo bila kuwa na ID
Hapo ndip napokataa Mimi mwanaume pia ni dhaifu kwa mwanamke na mwanamke ni dhaifu kwa mwanaume all in all viumbe wote wadhaifu hata ukikataa uho ndio ukweliHuu upumbavu na ujinga wa western propaganda ni hatari kwa Africa na naona ushaanza kuwaingia baadhi.
Mwanamke ni Mwanamke Na Mwanaume ni Mwanaume na always Wanaume tutakuwa Watawala (Dominant) na Wanawake watakuwa Watawaliwa (Submissive) na hakuna atakayewaza kubadilsha huo uhalisia wa Nature.
Hakuna kitu ambacho anaweza kufanya Mwanaume na mwanamke akakifanya kwa level zilezile ni impossible milele.
Au ukitaka wanawake na Wanaume wawe sawa basi wanawake watakanyagwa tena kwa nguvu bila huruma sababu Mwanaume amemzidi kila kitu mwanamke kwenye kila kitu ambacho anaweza fanya mwanaume.
Nataka nione siku moja mwanamke ananichallenge kivyovyote vile aisee nitamkanyaga bila huruma abaki anatiatia huruma.
Mwanamke siku zote ni dhaifu mbele ya Mwanaume kamwe hawawezi kuwa sawa.
Hizi propaganda zinaharibu hivi vitoto.
Very good.Hapo ndip napokataa Mimi mwanaume pia ni dhaifu kwa mwanamke na mwanamke ni dhaifu kwa mwanaume all in all viumbe wote wadhaifu hata ukikataa uho ndio ukweli
Ni hao wasiojielewa sasa, mwanaume kamili hawezi kuruhusu usawa katika mahusiano..kila kitu muwe sawa? HapanaPole upewe wewe,
Wanaume gani hao unawasemea wanaolelewa na Wanawake???
We hapo umelewa Nini namaanisha just help kuwaelewesha Hawa wengineKwangu nikichinja kuku, firigisi, mapaja nakula baba.
Jenda hiyo
Udhaifu wa mwanamke au mwanaume unaweza kuonekana hata kwenye kufanya maamuzi katika familiaVery good.
Sasa niambie Mwanaume ni dhaifu kivipi "kwa" mwanamke?
Na Mwanaume ni dhaifu kivipi "Ukilinganisha" na mwanmke?
Hayo ni maswali mawili tofauti, yajibu.
Seriously?Udhaifu wa mwanamke au mwanaume unaweza kuonekana hata kwenye kufanya maamuzi katika familia
Mkuu usingenitukania huyo mtu, ningelimtukana mimi wazi wazi bila kificho wala mafumbo.Bla bla ndefu ila wewe ni feminist, na tena zaidi ni feminist mjinga. Wait a minute, jamii ilimfanya mwanaume kua kichwa sijui nini nini, JAMII NDIO ILIMUUMBA MWANADAMU HATA KUMPANGIA MAJUKUMU?!
Hoja yako kubwa mwanaume na mwanamke wako sawa, hivi wewe una akili kweli ?! Haujui wala kuona duality kwamba kuna kushoto na kuna kulia, kuna usiku na kuna mchana yani unataka kusema usiku uwe sawa na mchana ?! Hauoni umuhimu ma UTOFAUTI WA UUMBAJI ?!
Mwanamke kaumbwa na manyonyo wewe unayo manyonyo, je hauoni ya kwamba kwa kuumbwa tofauti mwanamke ana MAJUKUMU TOFAUTI ?!
Unataka uwe sawa na wanawake, je unaweza kuzaa ?! Unataka wanawake wawe sawa na wanaume je wanamudu kubeba zege, kwenda vitani nk, mwanamke kaumbwa kutombm.wa je nawewe tunaweza kukutomb.a ?
hawa watoto waliolelewa na masingle mothers wamejazwa maujinga sana vichwana kuamini.
Stupid femiminists can't stop to annoy me with their empty headed brains.
Sawa.Wewe ndio akili hamna kabisa kwanza hata kizungu alichokiandika hukijui unaleta mabishano ya kishamba, mleta mada ana hoja ila kwakua vilaza ndio mmejaa kwenye huu uzi mtabisha bisha weee hadi lengo la mada lisifikiwe.
Popoma wewe social construction ndio mzigo mezani hapo ... We unaleta mboyoyo miiingiKwahiyo wewe ukiwa unajiona paka maana yake wewe utakuwa ni paka?
Acha kutapatapa kama pweza, na ujibu swali.Popoma wewe social construction ndio mzigo mezani hapo ... We unaleta mboyoyo miiingi
Na wewe utatoka kifua mbele kujiita msomi,Acha kutapatapa kama pweza, na ujibu swali.
Ina maana wewe ukijisikia kujiona kama paka maana yake wewe ni paka?
Mtaitaje Paka Gender Identity?