Suala hili la ndoa na usaliti

Mifano huwa haitolewi kwa watu wapumbavu...

Toa mifano kwa watu Kama mitume,manabii,wafalme na machifu
Mfano.nabii Ibrahim, Suleiman, Muhammad, King sae n.k

Baba ako ata tumpe mbuzi akawachunge sidhani kama atawaweza sembuse wanawake.
 
Tunavyosema mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja,hatumaanishi mwanaume ajali wanawake wa nje aache kutimiza mahitaji ya familia yake

Baba yako aliendekeza chini akatelekeza familia

Wewe bado mdogo na bado unajifunza,
Miaka 10 ijayo utagundua tunachokisema sasa
Hayo maneno yakikubwa mno kwake
 
kuna mahala nimesema mama alikuwa na ghubu mkuu sikatai kama alikuwa nalo maana mimi sifahamu nianchosema kutetea mwanaume aliyeko kwenye ndoa anatetea uovu wa kusaliti ndoa kwa kisingizio cha kutokuridhika na mwanamke mmoja sio sawa mkuu
Dogo wewe ni mwanaume. So usimalize maneno hapa.Jamaa kakupa maneno mazito sana tena ya kiume,kaa ujitafakari ktk kauli zako kwasababu usije baada ya Miaka sita mbele ukaja na kisanga chako hapa nasi km Allah atakuwa amejaalia kuishi tukakurudi kwenye huu uzi wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom