SUA nako wapo

khaaaa, bora waafrika tumenyimwa kila kitu, tungejisifia sana.
 
IT ya sua hamna kitu acha kuzingua watu. Kwa computer gani na lab gani mliyonayo pale sua? Bado sua inajikongoja tu na hiyo informatics ya kula simbi na ku krem notes.
 
sio tufike hapo muanze kutuonyesha namna ya kuburn CD aaaah mtachezea makoofi
 
Kwani IT lazima ihusiane a computer(PC)?
 
mhhh ngoja nakuja huko maana mimi najua kutumia tuu ms world
 
waeleze wasomi wenzio hapo kuwa nchi inanuka, waambie wageuke kwani tz si shwari tena. but
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…