SUA mtatuua, mbona hamtupi boom?

SUA mtatuua, mbona hamtupi boom?

Nasikia kama umeng'ang'aniwa na probation/sup huwez sain booom
Ila nadhan wanataka kutoa kwa mkupuo coz jana wametoa batch ya mwisho walio chaguliwa hapo mjengin
Nmejiuliza maswal meng xn kama ifuatavyo
1/Hao wagen watafanya screen test?
2/ kama matokeo ya probation yametoka jana, je kuna harufu ya kupata boom wiki ijayo kpnd wengine hawaja sain?
3. Kama hali n hvyo vp kuhusu kubemendwa kwa dada zetu hapo mjengon na wana funz wa masters?
Polen madogo na kaka na dada zetu
Mm nashukuru nme maliza salama japo nna degree ya mazimbu nahis wadau mnajua nkisema degree ya mazimbu
I mean ukishikwa na ww jiachie kweny prob kazen kibish. Tuonane november 25 kwny graduation. Sua wote wagumu haina mabishoo wala ma sister duuhView attachment 432774
first year wapya watapangiwa siku wafanye screen test,ila Sua kuna mfumo mbovu wa ufatiliaji mikopo yani shida tu hichi chuo.
 
Mkuu... Ishantokea sana hio hali.... Ilibidi sometimez niwe kibaka chuo....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom