UD n constituents college zake wamepata ila wachache mkuu.kwani chuo gani wamepata
University of iringakwani chuo gani wamepata
hahahaaaa unaeka rehan vyeti,,,dah aise me mwenyew npo huku mazimbu hata dalil ya kuxaini hakuna,yan vyet vye2 vpo rehan kwa wauza mxox;
Muce washa maliza mpaka hlo boom lenyeweUD n constituents college zake wamepata ila wachache mkuu.
Ukiona mna sign ujue pesa isha ingia ktk account ya shule hapo kuna figisu figusu tu huenda pesa zenu wanazfanyia biashara zao
MSUASO mambo Vp wawe wavumilivu hata tulikuwa hatuulizagi likija muda wowote poa tu ila usiache kusoma kisa boom wao hawajui Hilo wasikukamateSUA is among of best universities
Elimu kwanza boom baadaye sanaaa
Msichoke kuomba kila usiku na mchana.......thanks dear Gambe tulimaliza salama, pigeni gambe kama demu tafuta mboga saba, Fanya mishe mishe jombaaa zisake daily kesha MLTs haaaa....ukizipata tesaaa sanaaa kula nyama na bia gongeni cheers........
Gongeni cheers mchana na usiku kama watoto wa mafisadi.........
SUA+MZUMBE=UTAMU
Pata bumu unielewe ......