atupe ufafanuzi tafadhaliLily Tony, huu uzi unakuhusu mama. Karibu kwa ajili ya maoni na ushauri.
Kuna uzi humu una nadi miche ya matunda tokea SUA na hata bustani zao ziko SUASUA wanauza miche ya miti mkuu?
Kuna jamaa mmoja niliwahi msikia anasema watu wanaofanya hiyo biashara ni wale waliojiongeza na kiendesha biashara hiyo kwa kutumia jina la SUA...
Kuna uzi humu una nadi miche ya matunda tokea SUA na hata bustani zao ziko SUA
Nimesoma vizuri hoja yako,umewahi kutembelea Sua au umepata story za Sua?Sina nia mbaya wala lengo la kuwaharibia biashara zenu, ila ninyi kama taasisi kubwa nchini inayotumia resources nyingi kwenye tafiti mbalimbali za kilimo, hili la matunda yenu mmeshindwa kabisa.
Mfano mmoja kati ya mingi ni haya maembe yenu ya kisasa utakuta kati ya maembe na mapera 10 unayochuma mtini 8 ni mabovu yameoza ndani, je;
- Hamuoni uwepo wenu hauna faida kwenye jamii kwakuwa products zenu hazifai?
- Hamuoni kama mnaathiri jamii ya Watanzania kwa haya matokeo yenu mabovu?
- Kama matokeo yenyewe ndiyo hayo, professionalism yenu ina lengo gani ni kutulisha sumu?
- Lengo lenu ni kutengeneza tatizo ili muuze madawa?
- Mbona enzi za matunda asilia hapakuwa na huu uharibifu, ninyi mmeleta mbegu zenu matokeo ni hayo!
- Hamuoni haja ya kutatua hii shida kwakuwa tayari mnanufaika kwa namna fulani?
Idara ya wanyamapori na misituHivi professor mbije bado yupo sua..??
Sina nia mbaya wala lengo la kuwaharibia biashara zenu, ila ninyi kama taasisi kubwa nchini inayotumia resources nyingi kwenye tafiti mbalimbali za kilimo, hili la matunda yenu mmeshindwa kabisa.
Mfano mmoja kati ya mingi ni haya maembe yenu ya kisasa utakuta kati ya maembe na mapera 10 unayochuma mtini 8 ni mabovu yameoza ndani, je;
- Hamuoni uwepo wenu hauna faida kwenye jamii kwakuwa products zenu hazifai?
- Hamuoni kama mnaathiri jamii ya Watanzania kwa haya matokeo yenu mabovu?
- Kama matokeo yenyewe ndiyo hayo, professionalism yenu ina lengo gani ni kutulisha sumu?
- Lengo lenu ni kutengeneza tatizo ili muuze madawa?
- Mbona enzi za matunda asilia hapakuwa na huu uharibifu, ninyi mmeleta mbegu zenu matokeo ni hayo!
- Hamuoni haja ya kutatua hii shida kwakuwa tayari mnanufaika kwa namna fulani?
Mdudu hupitia kwenye maua, bahati mbaya tangu utotoni haujawahi kula embe vinginevyo usingeuliza swali hili, kumbuka kuna wimbo " mdudu kaingiaje ndani ya kokwa la embe", hii inatokana na zile embe za miembe ya asili kuwa na mdudu ndani ya kokwa.Linaathikaje ndani bila kugongwa nje
Ninaweza kupata miche ya hii kitu na wapi na bei gani?
Ni lazima miti inapotoa maua pulizia dawa ya kuua nzi wa maua ya miembe, hili si la miembe ya SUA hata ukinunua kwingine labda tu eneo uishilo wasiwepo hao wadudu au tofauti ya aina ya embe, tatizo hilo lipo pia kwenye mipera ambayo haikutoka SUA.Unachuma maembe 10 unapata mazima mawili mengine yote mabovu japo nje ni mazima
Lakini nilimtuma mtu kununua miche huko baada ya kuona hilo tangazo
Katika hatua nyingine Bi. Urusula ameuomba uongozi wa SUA kusimamia na kutoa utaratibu kwa watu wanaofanya uzalishaji wa miche maeneo ya chuo kwani wamekuwa wakifanya uzalishaji na kuuza miche kiholela pasipo kuwa na kutoa elimu kwa wakulima jambo ambalo husababisha wateja kutoamini katika miche kutoka SUA.