Niliandika hapa wiki zilizopita nikieleza njama za utawala wa SUA kupinga wazo la kumualika Rais ktk maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Sokoine, ambayo hufanyika SUA kila mwaka kwa jina la Sokoine Day.
Tunayo malalamiko kwamba jamii ya SUA ingependa Rais afike SUA lakini uongozi hautaki na umeamua kualika kiongozi mwingine na wasingependa rais afike SUA kipindi hiki. Tangu lini kiongozi wa taasisi akatae kutembelewa na rais? Tunaomba SUA ikubali ugeni mkubwa badala ya kubaki kama kisiwa cha Morogoro.