Napata tabu kuamini mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza akaweka bandiko kama hilo lako....linamiss vitu vingi sana..au wewe ndo huyo president umekuja kutafuta public sympathy huku?
Kizega kwanin unadanganya watu??? Mtu ana gpa ya nne afu semister hii adisco?? Na ujue we ni mwongo pepa za sup mbona bado hazijafanywa!! Sasa ata disco vipi?? Acha potosha umma..

Not necessarily uwe mpango. Inawezekana jamaa ana matatizo ya kifamilia ama ya kimahusiano ambayo yamesababisha akashindwa kusoma, hivyo kupelekea kufeli.
Wale wazee wa SUA wamekunywa maji ya bendera kama kiapo, hawana masihara, huyu president inasemekana aliwachachafya sana inawezeka hii ndio payback kwake......