SUA ni moja ya vyuo bora kabisa hapa Bongo na hata Afrika Mashariki. Kazeni uzi mpandishe chati zaidi chuo chenu.Nawatakia kila la heri katika mitihani yenu. Angalieni msije mkatumia madesa kwa wingi kama pale UDSM halafu mkakamatwa na kuachishwa chuo. Kumbuka 'It is risky to enter the examination room with a 'desa' but it is more risky to enter the examination room without a 'desa'.Kazi ni kwenu!