Sua all the best

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
Ni mara nyingine tena wanafunzi wa SUA tukiwa tunaanza tena mitihani ya mwisho wa mwaka mimi kama mmojawapo nawatakia mtihani mwema na pia Mungu aweze kutujalia afya njema katika hiki kipindi kigumu ALL THE BEST
 
Wenzenu 2nakarbia kumaliza nyie ndo mnaanza?all the bst wasuaso wote..
 
All the best you guys. I really appreciate your hardworking.

God bless you ALL.
 
All the best maana shule yenu naijua ilivyo ngumu na wazee wa kubana wako kibao apo.
TANESCO pls umeme usiku msikate basi
 
SUA ni moja ya vyuo bora kabisa hapa Bongo na hata Afrika Mashariki. Kazeni uzi mpandishe chati zaidi chuo chenu.

Nawatakia kila la heri katika mitihani yenu. Angalieni msije mkatumia madesa kwa wingi kama pale UDSM halafu mkakamatwa na kuachishwa chuo. Kumbuka 'It is risky to enter the examination room with a 'desa' but it is more risky to enter the examination room without a 'desa'.

Kazi ni kwenu!
 
SUA ni moja ya vyuo bora kabisa hapa Bongo na hata Afrika Mashariki. Kazeni uzi mpandishe chati zaidi chuo chenu.Nawatakia kila la heri katika mitihani yenu. Angalieni msije mkatumia madesa kwa wingi kama pale UDSM halafu mkakamatwa na kuachishwa chuo. Kumbuka 'It is risky to enter the examination room with a 'desa' but it is more risky to enter the examination room without a 'desa'.Kazi ni kwenu!
sasa mkuu,kama co uchokozi ni nin,maelezo ya thread na kudesa kwe2 wana udsm kunahusika nin hapo,au unatafutwa ku2kanwa 2 ndo uone raha??acha hzo bana..
 
SUA ni moja ya vyuo bora kabisa hapa Bongo na hata Afrika Mashariki. Kazeni uzi mpandishe chati zaidi chuo chenu.Nawatakia kila la heri katika mitihani yenu. Angalieni msije mkatumia madesa kwa wingi kama pale UDSM halafu mkakamatwa na kuachishwa chuo. Kumbuka 'It is risky to enter the examination room with a 'desa' but it is more risky to enter the examination room without a 'desa'.Kazi ni kwenu!
ha ha ha ha ha ha ha kaka mimi nacheka sana kuhusu desa usiwasahau wataalam wa kujilipua aka Mvomero university ila nakumbuka SUA kuna SIMBI if im not mistaken zote zina lengo lilelile ha ha ha ha ha
 
kila la kheri vijana. pambaneni, bt next semester mchague masomo yatakayowawezesha kujiajiri ama kuchakachua hela za chama. mitaani pagumu sana
 
kila la kheri vijana. pambaneni, bt next semester mchague masomo yatakayowawezesha kujiajiri ama kuchakachua hela za chama. mitaani pagumu sana
we nawe,sa wachagueje masomo na wkt wao waliisha chaguliwa na serikal kusomea mizizi na udongo.
 
Back
Top Bottom