Style za kuvaa scarf kwa wanaume

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,966
kwa tunaoishi maeneo ya baridi (Mbeya, Arusha, Iringa, Njombe nk) scarf mbali ya kukinga na baridi pia inakuongezea swaga. hapa kuna style mbalimbali za kufunga na kuvaa scarf kutoka ties.com.
6_ways_to_wear_scarf_GM_city_slicker_02.png
 
Back
Top Bottom