Style ya kugegeda ukiwa umetenguka kiuno

Acha kujiendekeza mkuu.....ushauri ulopewa wa msingi kuliko gegedo...
 
Wakuu heri ya mwaka mpya.

Jana katika harakati za kupokea mwaka mpya nimepatwa na janga la kutenguka kiuno, ingawa sio serious sana Lkn daktari amenishauri nisifanye shughuli nzito kwa angalau wiki moja, na Mimi nilikaa siku tatu bila kugegeda nakuwa hovyo kabisa, sasa wadau naomba mnijuze style ya kugegeda ukiwa umetenguka kiuno bila kujiumiza.

Kwa unyenyekevu mkubwa sana naomba msaada wenu
Thread ya kipumbavu, imeletwa na -------- anayewaza upuuzi
 
Yaani huyu hata angefanyiwa operation ya dushelele angeuliza jinsi ya kugegeda akiwa na bandeji, chezea uraibu wa ngono wewe!
 
^^
Kama ni kweli, jifunze kuwa na kiasi katika maisha.
Maisha yasiyo kiasi ni mabaya kuliko mauti.
Ila kama unafurahisha jukwaa, mtaka kilema hafi bila kukipata.
^^
 
Hapo wewe tulia tu,ukikupita mwaka hujaona ndani jinsia yako itabadilika na watu watakusaidia
 
Wakuu heri ya mwaka mpya.

Jana katika harakati za kupokea mwaka mpya nimepatwa na janga la kutenguka kiuno, ingawa sio serious sana Lkn daktari amenishauri nisifanye shughuli nzito kwa angalau wiki moja, na Mimi nilikaa siku tatu bila kugegeda nakuwa hovyo kabisa, sasa wadau naomba mnijuze style ya kugegeda ukiwa umetenguka kiuno bila kujiumiza.

Kwa unyenyekevu mkubwa sana naomba msaada wenu

Mnaleta dharau thread za wenzenu kwa kuwa viuno vyenu viko sawa eeh

Huyo ndo zake sijui Siku akifanywa atakuja kutusimulia?
 
Wakuu heri ya mwaka mpya.

Jana katika harakati za kupokea mwaka mpya nimepatwa na janga la kutenguka kiuno, ingawa sio serious sana Lkn daktari amenishauri nisifanye shughuli nzito kwa angalau wiki moja, na Mimi nilikaa siku tatu bila kugegeda nakuwa hovyo kabisa, sasa wadau naomba mnijuze style ya kugegeda ukiwa umetenguka kiuno bila kujiumiza.

Kwa unyenyekevu mkubwa sana naomba msaada wenu

Use English please ...
 
Back
Top Bottom