- Thread starter
- #21
Yaani service itimie kila siku safarini. Muda wa abiria haujaliwi. Ikitokea ajali off road inakuwajeSasa Kama Km za service zimetimia aliburute tu mpaka dar?
Dereva Kama anahisi gari haipo saw a bora alisalimishe .Na sometimes anabadilishiwa gari ili wafike Salama.