Style ngumu kumfikisha mwanamke kileleni

Style ngumu kumfikisha mwanamke kileleni

Wewe acha kujisumbua na styles za tendo, kikubwa ukojoe Kisha umpe dada wa watu hela zake asepe kwao.
 
Kichwa Cha habari kinajieleza vizuri tu hapo juu.

NALIA NGWENA nimezoea popo kanyea mbingu na kifo Cha mende Sasa nimekuja kwenu mnipe materials (nondo ) mpya maana mjini hakuishiwi mapya kila siku vinazuka vituko vipya.

Nawasilisha hoja na ahsanteni.
Hujasema una fedha Za kugaramia shemeji unaomba upewe nondo?

Kabla hajafika kwako alipitia mahali akapewa fedha kwako akaambulia kurudi na bajaji kwao unatarajia nondo gani?

Tafuta fedha dogo nondo utaletewa na shemeji Wewe umalizie!!
 
Sisi tuliozaliwa zamani hatuna cha kushauri zaidi ya Kifo cha Mende tu 🤪
 
Back
Top Bottom