Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,648
- 6,409
- Thread starter
- #261
Mashallah wewe ni mwanamke unayejitambua
kweli hata mimi mwanaume akinipiga "kifo cha mende " lazma nikifke mlima kilimanjaro.
vijana wanatugeuza geuza lakini hamna kitu, lala kifuani baba, hapo ndio mambo yote yapo.