kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 916
Salamu kwa wale wanaovaa kwa mujibu wa fashion.
Utakuwa unatafuta kesi wewe sio bureHii staili ikija huku haitanipita
Makusudi tu alafu nikipita barabarani hayo mapulizo nikiwagusa wadada wembamba wanaangukia mitaroni
ChipuputeeeAcheni matani basi,ni nini hicho eti?
Dah umeua sana mwambaHii staili ikija huku haitanipita
Makusudi tu alafu nikipita barabarani hayo mapulizo nikiwagusa wadada wembamba wanaangukia mitaroni

Hii staili ikija huku haitanipita
Makusudi tu alafu nikipita barabarani hayo mapulizo nikiwagusa wadada wembamba wanaangukia mitaroni

Basi nitakuwa nawapush kule Beach ili wakianguka wasiumie 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
una ugomvi na wadada wembamba