Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,068
- 151,316
Unamteua mtu na kisha unampangia kituo cha kazi.Analipwa stahiki zake then anaenda kuripoti katika kituo chake cha kazi.
Anafanya kazi kwa muda mchache then unamrudisha alikotoka kwa kumbadilishia kituo chake cha kazi.Hapo napo inabidi umlipe tena hela ya uhamisho!
Sasa huku ni kubana matumizi au kupeana ulaji?
Anyway,wacha watakatishe matumizi maana sioni neno lingine linalofaa kuelezea hali hiyo zaidi ya hilo.