Study: The bigger the belly, the better the sex stamina

hao mbio zao za jogoo, pumzi shida wanahema ulimi nje ka wa mbwa kila dakika gudu gudu gudu gudu wanakimbilia maji hawapendi style nyingine zaidi ya "woman on top" sababu ni wazito hawajiwezi kupiga takkozzz wajikute tu wana stamina....

Wenye vitambi maneno hayo!!!
 
Kosa lipo kwa mtafiti badala ya kuwahoji wadada na wamama wanao washuhudia wote wenye vitambi na vimbau mbao wakiwa kazini yeye anahoji wenye vitambi .. ni dhahiri watajisifu
 
Wapi katajwa mtu mweusi?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Mimi na wewe nani mjinga..kuna vitu/ studies nyingine unatakiwa uwe na information za mambo mengine ndo utaweza kuunganisha doti..ivi unajua ni race gani inaongoza kwa obesity..? Kwanza najiangaisha tu hapa kukuelezea kilaza ka ww maana nakujua..!
 
Wacha kuhororoja na kubwabwaja hovyo:

Graphic shows an epidemic of obesity across most of the U.S., Europe, Australia and the Middle East. The scale shows the percentage of each country's populations that is defined as obese, with a Body Mass Index of over 30. The Pacific Islands, east of Australia, are the countries with the largest percentage of their population reported as obese. In American Samoa, three quarters of the population is dangerously fat

Most of Africa and south Asia are shown in turquoise, with low levels of obesity, while most of the U.S., Europe, Australia, the Middle East are shown in orange, indicating high levels of obesity

Read more: How fat is YOUR country - and which nations have the highest obesity rates? These new maps may surprise you... | Daily Mail Online

"Information" niliyonayo mimi ni hiyo, wewe leta yako au kubali kuwa unabwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Haya endelea kubwabwaja.

Huwa sikisii.

​
 
ivi unajua maana ya race vs country or region na unajua ni nchi gani inaongoza duniani kwa kuwa na watu weusi.? Obesity by race no1. Black 2. Non black hispanic.. Wanakutafuta kule kwenye ule uzi hakuna atakae achia ngazi sakata la escrow.! Ujuaji mwingii wa kijinga jinga hauna faida..ila kwa asili yako ujuaji ndo mwake..?! Na hivi unavyojua kusearch google basi shule ww ndo umenda..kumbe kilaza tu.!!
 
hao mbio zao za jogoo, pumzi shida wanahema ulimi nje ka wa mbwa kila dakika gudu gudu gudu gudu wanakimbilia maji hawapendi style nyingine zaidi ya "woman on top" sababu ni wazito hawajiwezi kupiga takkozzz wajikute tu wana stamina....
hata mbwa anahema haraka lakini ana stamina saaaana, huo ni utafiti, ila wabishi hawakosekani
 
Haiwezi kua kweli pumzi zao zenyewe ujazo wa kisoda!
 
Aisee bwanaangu akiota kitambi tu natafuta dildo

Wanaume wenye vitambi ni majanga
 
Huku ni kujitetea, kuona tuu kitendea kazi chao mpaka watumie kioo!
breeeeeeeee kabisa!!!
 
hao mbio zao za jogoo, pumzi shida wanahema ulimi nje ka wa mbwa kila dakika gudu gudu gudu gudu wanakimbilia maji hawapendi style nyingine zaidi ya "woman on top" sababu ni wazito hawajiwezi kupiga takkozzz wajikute tu wana stamina....

hahahhaaa....hili jembe huwa nalikubali kwa kuongea asee haliogopi! cute b tupe uzoefu wako bana.
 
Last edited by a moderator:
Huu utafiti utakuwa na malengo tofauti, isijekuwa biashara ya tiba ya kisukari na kukuza vibamia
 
sikubaliani na mtoa mada(mtafiti),kwamba wenye vitambi wana stamina kuliko wenye six packs,ku-last long on bed(stamina) kunahusiana na uimara wa kergel muscles na si kitambi.
huu utafiti feki kabisa. Mwenye kitambi hata ngazi za nyumba anahema iweje kutembea 7km. Kama ingekuwa fair game tungeandaa ligi lakini maadili hayaruhusu. Kama wanaweza mbona wake wa wenye vitambi wanaongoza kuhonga viserengeti boys na mateja ili wapate huduma! (ADMIN NATANGULIZA SAMAHANI KAMA MANENO YANGU YANALETA UKAKASI WA MAADILI)
 
Back
Top Bottom