Struggling To Abstain

Struggling To Abstain

Oohh. no!!! its a trap don't answer it!! LMAO..

Heheheheheee....yaani nimeishia kucheka tu! I don't even know what to say....ngonja nimsubiri tu anipe jibu maana nime carry over PTO na ni lazima nitumie kabla ya April 1.....
 
Hapa ndipo penyewe! Roho inaweza kuruka out of his chest.....
Inakuwaje lakini? ( haya ndio maneno wezi wa waume wa watu huyatumia kuwaiba waume zetu huku tumezubaa lol) Kina shostito mpoooooo??

ndiyo hapo WoS kwa sababu yule mdada mwingine hatoficha tamaa yake kwa huyo jamaa.. tena anaweza kufanya na kila aina ya manjonjo ambayo mama watoto anaona haya kuyasema au kuyafanya kwa sababu sasa hivi yeye ni Mrs Somebody.. akishtuka mtu anaimba "iyo iyo iyo.. yumo mikononi mwangu!"
 
MMJJ...HIZI NAZOOO!
Leo ni kama ndoto oh! YUKO MIKONONI MWANGU EHH.IYO IYO IYO IYO IYO! Jamani leo ni kama ndoto oh!
 
Precious.. usimfiche mumeo kuwa unamtamani! Biblia inasema "na tamaa yako itakuwa kwa mumeo"! Sasa usiseme mambo ya upweke atakununulia paka bure akupe kampani! Mwambie.. you miss his hands on you, his kisses, his "big ego".. and all that you seem to be wanting. Umfanye huko aliko roho imdunde afikirie jinsi gani akuondoe tamaa hiyo. Ukimuambia huwezi kuishi mbali naye utampa stress nyingine, la maana ni jinsi gani wawili nyie mwaweza kushirikishana ndio maana hayo maandikio yanasema "muachane kwa kitambo ili mpate kusali" vinginevyo itakuwa ni ngono juu ya ngono.. hata wanyama wana take time out!!

sorry.. sikutaka kukushauri. Just ignore me.
hahaha atamnunulia paka.. lol... safi kabisa Mwanakijiji lazima awe open...
 
Hapa ndipo penyewe! Roho inaweza kuruka out of his chest.....
Inakuwaje lakini? ( haya ndio maneno wezi wa waume wa watu huyatumia kuwaiba waume zetu huku tumezubaa lol) Kina shostito mpoooooo??
that was quote of the day... I have noted that and I am gonna use it...
 
Precious.. usimfiche mumeo kuwa unamtamani! Biblia inasema "na tamaa yako itakuwa kwa mumeo"! Sasa usiseme mambo ya upweke atakununulia paka bure akupe kampani! Mwambie.. you miss his hands on you, his kisses, his "big ego".. and all that you seem to be wanting. Umfanye huko aliko roho imdunde afikirie jinsi gani akuondoe tamaa hiyo. Ukimuambia huwezi kuishi mbali naye utampa stress nyingine, la maana ni jinsi gani wawili nyie mwaweza kushirikishana ndio maana hayo maandikio yanasema "muachane kwa kitambo ili mpate kusali" vinginevyo itakuwa ni ngono juu ya ngono.. hata wanyama wana take time out!!

sorry.. sikutaka kukushauri. Just ignore me.

Kidogo nina heshima nyingi kwake kwa sababu ni mkubwa wangu na miaka mingi kumwambia maneno haya itakuwa vigumu kwa sababu ya ile respect na vile hatujakuwa tuki discuss mambo ya bedroom sisi hufanya tuu vitendo kwa hio sijui hata nitaanza vipi pengine kwa email.
 
Respect gani ya maneno wakati unamvulia nguo? acha hizo bwana. Mume ni sawa nawe tu kwenye mambo hayo. ungeona mkubwa wako si ungemkataa sababu unamuheshimu? au walikuolea!!!!!!!!!!!!!
 
Nakushauri utake divorce ili uwe mtu ambaye mwili wake hutauonea haya kuudai na hautauheshimu kuushughulikia utakapo.
 
FP, huyu Presiuos kwa kweli ana utani , haya angekuwa nayo asingekubali kumvulia nguo....yaani hapo ndo uaimaliza haya zote...

@ Precious hupaswi kuogopa kuongea na mumewe juu ya haki zako kama mwanandoa mama, kukosa conjugal rights ni ground tosha ya kuvunja ndoa, sasa kama wewe bado unaona ni issue kuweka wazi basi tutasubiri kama MKJJ alivosema jana utarudi hapa unalialia, bila hiyana utapozwa moyo...

heee mzee wa busara nimeshindwa kusoma katikati ya mistari
 
huyu anatufanyia mind game tu...
hujamshtukia????
 
huyu anatufanyia mind game tu...
hujamshtukia????

bht, kama the boss alivyosema, huyu hana hiyo shida, anatufanyia mind game tu. hivi wewe mtu una shida kabisa ya ile kitu utasema unamuheshimu mumeo? heshima gani sasa hapo! mi nashindwa kumwelewa kabisaaaaaaaaaaaa.
 
kwani kuongelea tendo la ndoa ni kuvunja heshima?? mbona ni jambo linalozungumzika kabisa hilo
watu wazungumza ngono sembuse hiyo halali
haya hope atapata alichotaka.......
 
Alikuwa natatafuta victim wa kumwonea huruma. hope kapata tena na zaidi
 
Back
Top Bottom