Struggling To Abstain

Hey shem....niko hapa Stuttgart, Ujerumani....nimekuja kwenye mkutano ndio maana sionekani sana hapa kijiweni.

B mzima lakini?
na umepotea loh kumbe eeeh!!! haya bana mkutano mwema..
B yupo mzima kabisa, about to sleep.....
 
Sorry to say this but u dont know what the guy is doing out there. Ukiona nyege zinakolea wanasema chukua maji ya vuguvugu ujikande taratibu ukeni. Hakikisha una picha ya mumeo au muda huo unaongea nae simuni. Its no guilt but a safe way to preserve ur love 4 him. Wish ningekuwa na mke kama wewe, wala nisingehitaji pin. Ila umesema unaogopa ukimwi. So ukimwi usingekuwepo ungezini? Jipange upya. Muogope Mungu kwanza
 
Pole, maumivu yakizidi muone daktari ASAP

binamu bHt please do ze nidiful eeh
 
Mama kwea pipa uende ukajipimie bwana! kwan sh ngapi? Au mwambie arudi! nadhani hili liko ndani ya uwezo wenu kama ambavyo kubaki hapa kulikuwa ndani ya uwezo wenu!
 
kabla ya kuniingilia sana hebu tuone wangapi bado wanafanya mapenzi wakati wa usiku only,stima sikiwa off na chini ya blanketi kwa sababu hawataki waume zao wawaone uchi? Najui hawakosi so kuni judge harshly kwa sababu nashindwa nitazianzia hizi story wapi is not fair because nyinyi wanaume munafahamu jinsi mnavyo behave when u dont want a certain issue ama topic to be brought up,munanuna au munajifanya wakali more so kama hamujazoeana sana.Kwa email ni rahisi lakini face to face inakuwa hard kwa sababu anaweza kuwa hataki ile story because he may not be able or wnat to do anything about it for the time being.Basi sitaki awe hostile kwangu kwa sababu ya open communication yangu.

Men munapenda kusema kuwe na open communication lakini only when you are told what you want to hear.Mengine yote muta ignore au mujifanye kukasirika.
 
Back
Top Bottom