Struck out the suit for want of jurisdiction

adinag

Member
May 13, 2014
87
11
Habari za muda huu. Naomba msaada juu ya shauri hili langu.

ORDER YA MAHAKAMA.

"In the event the plaintiff's claim is based on general damages and not specific damages which is conceded by plaintiff's counsel, this court has no option but to struck out the suit for want of jurisdiction.

I make no order as to costs because the anomaly has been raised by this court"

Ndugu naomba mnisaidie.

Kesi hii nilifungua mwaka 2005 na order hii ya mahakama imetolewa mwaka huu 2015. Je kesi hii naweza kuirudisha mahakamani ikaendelea? Na kwa namna gani nitairudisha kulingana na law of limitations act.

Naomba msaada wenu ndugu.
 
Kitu kilichofanya application yako iwe struck out ni wewe kudai madai ya jumla(general damages) badala ya specific danages(dai mahususi kwamba unataka i.e ulipwe milion 5 sababu ya kitu flani, kosa ambalo hata hapa umelifanya la kusema law of limitation itakusaidia vipi...kwaio inabidi useme kesi yako inahusu nini?

Maana kuna kesi za miaka 12,6,3 etc ambazo law of limitation inahusika nazo na pia hiyo mahKam InaoneshA haukua na mamlaka ya kuisikiliza hiyo kesi pia...
 
Kitu kilichofanya application yako iwe struck out ni wewe kudai madai ya jumla(general damages) badala ya specific danages(dai mahususi kwamba unataka i.e ulipwe milion 5 sababu ya kitu flani, kosa ambalo hata hapa umelifanya la kusema law of limitation itakusaidia vipi...kwaio inabidi useme kesi yako inahusu nini? maana kuna kesi za miaka 12,6,3 etc ambazo law of limitation inahusika nazo na pia hiyo mahKam InaoneshA haukua na mamlaka ya kuisikiliza hiyo kesi pia...

Asante.

Kesi yangu ni kuwa, nilibomolewa kiwanda changu na vitu vyangu vyote vilikuwa ndani wakati wa ubomozi huo. Waliobomoa wanadai nimejenga eneo ambalo sio langu.

Nimekamilisha kutoa ushahidi wangu wote pamoja na mashahidi wangu ( ikiwamo walioniuzia hapo). Judge aliwaamuru upande wa pili waanze kutoa ushahidi. Kabla ya wao kutoa ushahidi jambo hilo likatokea.

Kesi hii ilikuwa Mahakama Kuu.

Ndugu mambo ya kisheria siyajui vizuri. Hivyo nategemea ushauri wenu.
 
Pole sana,

andika barua omba upewe hiyo oorder ili uweze kufungua kesi upya.

Kosa ni kuweka general damages badala ya specific damages( actual amount of your claims) ili mahakama ijue kwamba ina pecunuary jurisdiction ama la, ukishajua thamani ya madai yako ndio utajua ni mahakama gani yenye jurisdiction inaweza kuwa ni hiyo mahakama kuu lakini kama hukuonesha kwenye hati yako ya madai inakuwa ngumu kujua.

Kufahamu kuhusu limitation of time inabidi ujue Cause of Action yako. Kwa maelezo yako hapo juu kesi yako inahus mamno ya ardhi .
swali ni lini mgogoro uliibuka kati yako na hao uliowafungulia kesi na je unachodai wewe ni pesa au declaration kwamba uliuziwa kihalali na unamiliki ardhi hiyo kihalali?

Kwa ufupi tafuta wakili akuandalie madai yako hata kama utajisimamia mwenyewe hati yako ya madai ndio msingi wa kesi yako hivyo inabidi iandaliwe kitaalamu.
 
Kwa kuwa kesi yako inahusisha land hapo ndio mahala pake kwani mahakama kuu ina unlimited jurisdiction in terms of pecuniary (money).

Kwa kuwa kesi yako imekuwa struck out (na sio dismissed) basi unaweza kuirudisha (suit restoration) kwa kufanya maombi madogo ya kurekebisha maombi ndani ya mashtaka (prayers)

Maombi yataombwa kwa chamber summons pamoja na kiapo chako ambamo utaelezea sababu za maombi husika

Maombi yakikubaliwa (leave to amend an application) ndio utapeleka upya mashtaka yako ambapo sasa utakuwa umerekebisha prayers kwa kuweka kwanza specific damages na kisha kumalizia general damages (lakini hakikisha unaweka na "any other relief this court sees fit and just to grant".

Kwa usahihi kabisa usiogope kumtumia mwanasheria!
 
kwa kuwa kesi yako inahusisha land hapo ndio mahala pake kwani mahakama kuu ina unlimited jurisdiction in terms of pecuniary (money).

Kwa kuwa kesi yako imekuwa struck out (na sio dismissed) basi unaweza kuirudisha (suit restoration) kwa kufanya maombi madogo ya kurekebisha maombi ndani ya mashtaka (prayers)

maombi yataombwa kwa chamber summons pamoja na kiapo chako ambamo utaelezea sababu za maombi husika

maombi yakikubaliwa (leave to amend an application) ndio utapeleka upya mashtaka yako ambapo sasa utakuwa umerekebisha prayers kwa kuweka kwanza specific damages na kisha kumalizia general damages (lakini hakikisha unaweka na "any other relief this court sees fit and just to grant".

Kwa usahihi kabisa usiogope kumtumia mwanasheria!

asante sana
 
Pole sana,

andika barua omba upewe hiyo oorder ili uweze kufungua kesi upya.

Kosa ni kuweka general damages badala ya specific damages( actual amount of your claims) ili mahakama ijue kwamba ina pecunuary jurisdiction ama la, ukishajua thamani ya madai yako ndio utajua ni mahakama gani yenye jurisdiction inaweza kuwa ni hiyo mahakama kuu lakini kama hukuonesha kwenye hati yako ya madai inakuwa ngumu kujua.

Kufahamu kuhusu limitation of time inabidi ujue Cause of Action yako. Kwa maelezo yako hapo juu kesi yako inahus mamno ya ardhi .
swali ni lini mgogoro uliibuka kati yako na hao uliowafungulia kesi na je unachodai wewe ni pesa au declaration kwamba uliuziwa kihalali na unamiliki ardhi hiyo kihalali?

Kwa ufupi tafuta wakili akuandalie madai yako hata kama utajisimamia mwenyewe hati yako ya madai ndio msingi wa kesi yako hivyo inabidi iandaliwe kitaalamu.

ASANTE.

1. Kuhusu hiyo Order, tayari mahakama imeshanipa.
2.Tatizo ambalo linanisumbua bado ni juu ya either kutuma kwanza barua kwa waziri wa sheria au la. Nasema hivyo kwa sababu siku hii ya leo nimekwenda kutafuta ushauri kwa wanasheria wawili.
Wa kwanza; ameniambia kwa sababu nilibomolewa mwaka 2005, cause of action ilianza mwaka huo niliobomolewa. Hivyo ili nirudi mahakamani itanibidi kwanza niandike barua kwa Waziri wa sheria anipe mda ili nirudishe kesi mahakamani.

Wa pili: ameniambia kwa kua hapo awali (2005) nilifungua kesi nikiwa ndani ya mda, na kesi imekuwa struke out mwaka huo, hivyo cause of action acording to law of limitation inaanzia mwaka huo hivyo niko ndani ya muda na sina haja ya Barua ya Waziri wa Sheria.

Nimebaki sijui yupi ni sahihi?
 
Mwanasheria wa 2 yuko sahihi.
chamsingi wakati unaandaa madai yako ukumbuke kuweka hizo facts kuonesha ulisha fungua kesi dhidi ya watu hao na ikaondolewa mahakamani for want of jurisdiction. na uambatanishe hiyo Order ya Mahakama kuu.
 
Kwa kuwa kesi yako inahusisha land hapo ndio mahala pake kwani mahakama kuu ina unlimited jurisdiction in terms of pecuniary (money).

Kwa kuwa kesi yako imekuwa struck out (na sio dismissed) basi unaweza kuirudisha (suit restoration) kwa kufanya maombi madogo ya kurekebisha maombi ndani ya mashtaka (prayers)

Maombi yataombwa kwa chamber summons pamoja na kiapo chako ambamo utaelezea sababu za maombi husika

Maombi yakikubaliwa (leave to amend an application) ndio utapeleka upya mashtaka yako ambapo sasa utakuwa umerekebisha prayers kwa kuweka kwanza specific damages na kisha kumalizia general damages (lakini hakikisha unaweka na "any other relief this court sees fit and just to grant".

Kwa usahihi kabisa usiogope kumtumia mwanasheria!

nambo unijuze:
nikipata hiyo " leave to amend an application", je ushahidi wangu ambao nilikuwa nimeshakamilisha kuutoa, je naweza kuomba ukaendelea ule ule?
Asante
 
Mleta mada;-kwa kuwa kesi yako ilikuwa struck out kwa sababu mahakama hiyo haikuwa na mamlaka.La kufanya ni kufungua kesi hiyo kwenye mahakama ambayo itakuwa na mamlaka.Hauhitaji kufanya maombi ya aina yoyote.La kufanya fungua kesi lakini lazima uplead kwenye madai(plaint)yako kuwa uliwahi kufungua kesi kwenye mahakama fulani with a bonafide belief it had jurisdiction.Angalia sheria ya ukomo wa muda hapa chini:

Exclusion of time
of proceeding
bona fide in court
without
jurisdiction

21.-(1) In computing the period of limitation prescribed for any suit, the time during which the plaintiff has been prosecuting, with due diligence, another civil proceeding, whether in a court of first instance or in a court of appeal, against the defendant, shall be excluded, where the proceeding is founded upon the same cause of action and is prosecuted in good faith in a court which, from defect of jurisdiction or other cause of a like nature, is incompetent to entertain it.

(2) In computing the period of limitation prescribed for any application, the time during which the applicant has been prosecuting,
with due diligence, another civil proceeding, whether in a court of first instance or in a court of appeal, against the same party, for the same relief, shall be excluded where such proceeding is prosecuted in good faith, in a court which, from defect of jurisdiction or other cause of a like nature, is unable to entertain it.

(3) For the purposes of this section–
(a) a plaintiff or applicant resisting an appeal shall be deemed to be prosecuting a proceeding;
(b) references to a plaintiff, defendant or other party to a proceeding include references to any person through or under whom such plaintiff defendant or party claims;
(c) misjoinder of parties or of causes of action shall be deemed to be a cause of a like nature with the defect of jurisdiction
 
Back
Top Bottom