Nimejifunza mengi kwenye hii thread.
Kuna vitu vimenikumbusha wakati nipo mtoto nilivyokuwa nadeka kwa baba lakini kwa mama ilikuwa tofauti
kudeka kwa baba?????/
una bahati aisee lol
kuna jamaa mmoja namjua....alipotaka ku sex for the first time....alikuwa 17
alimwambia baba yake.....mwanzo mwisho....na siku aliyo du tu...
akakimbilia kwa baba yake kumwambia....nilimuonea wivu saana lol
Now that's just TMI!
TMI?meaning????
Too much information (to be telling his dad).
Unajua nacheka mwenyewe hapa...najiuliza sijui mshua alisema nini alipoambiwa hivyo!
Too much information (to be telling his dad).
Unajua nacheka mwenyewe hapa...najiuliza sijui mshua alisema nini alipoambiwa hivyo!
Yaani angle zako huwa zinanimaliza... Ziko so original na applicable to most.... Hapo ni the Majority na nimeshuhudia in many families... SAD.
unajua kuna culture hasa baadhi ya waarabu
watoto wa kiume wanakuwa wanaletewa mpaka wanawake[mostly prostitues]
nahisi ni katika kuogopa watakuwa gays...lol
nilisoma gazeti la forbes....zile shule za watoto ambao wazazi wao ni kings,presidents na billionaires of this world
ipo moja swissland ambayo alisoma the aga khan....na wengine rich n famous....
ilikuwa kawaida kwa watoto wa kiarabu kufuatwa na ma limousines na kupelekwa kwenye mahoteli
ambako wanawake waliandaliwa kuwahudumia.....kila wiki ilikuwa hivyo....
nakumbuka shule inaitwa eaton high school.....
Boss bana...sasa kwani mtu hawezi kulala na wanawake halafu akawa gay? Ukipata muda hebu mgoogle gavana wa zamani wa New Jersey, Jim McGreevey.
Haya mambo ya nani gay na nani si gay ni siri ya mtu moyoni (hususan kama huyo mtu hayuko wazi kuhusu huo mwelekeo wake). Kwa hiyo usione mtu ana mke na watoto wawili au watatu ukadhani haiwezekani yeye kuwa gay.
Sasa hao Waarabu sijui ndiyo wanafanya nini tu.
ni changamoto kwetu wote...
hatuko comfortable kuona watu wazima wakibusiana hadharani..
Huu utamaduni wa kubusiana kwa kweli mimi sidhani kama ni wa kwetu. Boss wewe umeanza lini kuhudhuuria harusi? Nahisi kama wewe ulikuwa mmoja wa wale wasimamizi wa harusi..lol...wenyewe mlikuwa mnavaa suruale zenu za mchele mchele na mokasin za wet-look (unavikumbuka hivi viatu? ilikuwa hakuna cha kupiga polishi wala nini).
Mimi katika harusi zote nilizohudhuria kwenye miaka ya 80 sikuwahi kuona wanandoa wakibusiana baada ya mfungashaji ndoa kuwatangaza kuwa mume na mke. Haya mambo ya mabusu na madenda yamekuja kushamiri baada ya video kuanza kuingia na watu kuanza kuangalia movie za Hollywood.
Kama saa hivi yamekuwa sehemu ya tamaduni basi ni tamaduni ya/za kuiga.
Nimejifunza mengi kwenye hii thread.
Kuna vitu vimenikumbusha wakati nipo mtoto nilivyokuwa nadeka kwa baba lakini kwa mama ilikuwa tofauti
Asante kwa elimu nzuri uliyotupatia. Hata sisi limetukumba hilo, tumelelewa kwa kelele kelele sana, kila tufanyalo ni baya tu imetufanya tusipendane na wala kuwapenda wazazi. Nitajitahidi kwa nguvu zangu zote kuwalea wanangu vema.
kudeka kwa baba?????/
una bahati aisee lol
kuna jamaa mmoja namjua....alipotaka ku sex for the first time....alikuwa 17
alimwambia baba yake.....mwanzo mwisho....na siku aliyo du tu...
akakimbilia kwa baba yake kumwambia....nilimuonea wivu saana lol
Now that's just TMI!
yaani huwezi amini.tulikuwa wengi tunashangaa jinsi yeye na baba yake walivyokuwa close...
mdingi wake alicheka cheka tu....nakumbuka alikuwa anamsisitiza condom tu....
unajua kuna culture hasa baadhi ya waarabu
watoto wa kiume wanakuwa wanaletewa mpaka wanawake[mostly prostitues]
nahisi ni katika kuogopa watakuwa gays...lol
nilisoma gazeti la forbes....zile shule za watoto ambao wazazi wao ni kings,presidents na billionaires of this world
ipo moja swissland ambayo alisoma the aga khan....na wengine rich n famous....
ilikuwa kawaida kwa watoto wa kiarabu kufuatwa na ma limousines na kupelekwa kwenye mahoteli
ambako wanawake waliandaliwa kuwahudumia.....kila wiki ilikuwa hivyo....
nakumbuka shule inaitwa eaton high school.....
Boss bana...sasa kwani mtu hawezi kulala na wanawake halafu akawa gay? Ukipata muda hebu mgoogle gavana wa zamani wa New Jersey, Jim McGreevey.
Haya mambo ya nani gay na nani si gay ni siri ya mtu moyoni (hususan kama huyo mtu hayuko wazi kuhusu huo mwelekeo wake). Kwa hiyo usione mtu ana mke na watoto wawili au watatu ukadhani haiwezekani yeye kuwa gay.
Sasa hao Waarabu sijui ndiyo wanafanya nini tu.
nakubaliana na wewe
ndo maana nikasema its culture.....
waarabu wana mambo wanafanya huwa haya make sense kabisa kwa sisi wengine
but wao ni culture....
umenikumbusha mbali saana
halafu umejuaje aisee???????
nilisimamia harusi kama mbili hivi....nilipokuwa mdogo....na mazoezi ya blues na mrembo wangu dahh. lol
mbali saaana.....
ukija kwenye topic...hata kama ni utamaduni wa kuiga...je haufai??????
mimi nasema busu la kawaida kwenye shavu tunapaswa kupeana mengi mno na hadharani kweupe
kwa mke na mume.....na tuige huo utamaduni....
but madenda nje nje hiyo siungi mkono...lol