mhhhhhh! ππ....mie ngoja ninyamaze tu ππ
Hii mechi ase. .
I min ya barca. . .Utata mtupu. .
Hahaha Shemeji yangu kwa woga loh
Inategemea bana strip dance si lazima iwe kama ya wenzetu bana, ile ya kucheza na mapole sijui majiti ah......... zipo za asiliu, za kiuchokozi jamani ni maswala ya ubunifu tu kwenye vijiutundu hivi, mwenyewe atapenda bila hata kujua kama una-strip dansia ati..... hah midumange, n.k
Kweli leo umekuwa Bubumhhhhhh! ππ....mie ngoja ninyamaze tu ππ
Hahahahaha lol! Si woga bana MJ1 ππ nikiandika hapa huu uzi itabidi uhamishwe kwenye jukwaa la wakubwa ambako wengine hawana access nako ππ.....Mhhhhhh! Mchaga wa Tanga haya bana nanihii ππatapanda ndege fasta fasta ili atie timu jijini ππ
Aisee umeishaisikiliza ΒLap DanceΒ ya Tyga produced by Lex LugerLi Bishanga Abashaija likija humu ntalimwagia ile kemikali
Binafsi napenda sana lap dance...na strip clubs zimenimalizia sana hela zangu na siku hizi siendi kabisa. Mara ya mwisho kwenda ilikuwa 2007.
It was just a waste of my hard earned money.
Aisee umeishaisikiliza "Lap Dance" ya Tyga produced by Lex Luger
Mi nimegonga like ya comment... :embarrassed1:Mwali naona umenigongea like hapo. Vipi, umeipenda hiyo video?
Hahaha you got memories man hiyo incident banaa mimi sikutegemea ingekuwa ishu kihivyo kuna moja na yenyewe ya T PAIN similar to that oneMambo yote "Tip drill" bana. Enzi za BET Uncut....hahahaaa. Nazimiss sana zama zil
Kuna sehemu Nelly ali-swipe credit card kwenye crack ya mdada (dakika ya 6:55-57)...basi wadada wa Spelman College wakamshikia bango yeye na BET hadi BET wakaacha kuonyesha tena hicho kipindi. To some of us that was a bummer.