Strictly for ladies!

Strictly for ladies!

jamaa anataka PM za wadada tu.anataka PM.hilo ndo tatizo lake.anaona rahaaa!
 
Uuuuuupsi wamtisha nani????
Useme / usiseme hayayuhusu

Wewe ndo mweny shida hukutumwa kupost

Hata na wewe hukutumwa ku-comment, nashangaa povu tele!
 
Dah! Wife wangu ni daktari bingwa wa kina mama lakini si mshiriki huku JF so imekula kwako!
 
Kama kweli una Nia ya kumsaidia utatafuta means tu,au laa mpeleke hospital.
 
Huko PM wameshakuja wangapi??
Basi haupo serious na hiyo issue unayodai ni tatizo ya mkeo
 
Habari za asubuhi wana-JF1

Naomba msaada wenu! Mke wangu ana tatizo la ki-bailojia ambalo sina amani kulimwaga hapa jamvini hadharani, naomba kwa wamama, wadada, members wote wa JF wa jinsia -ke, walio na moyo wa huruma na kuguswa na magumu ya watu hasa wadada wenzao, wani-pm ili niwaelezee aina ya tatizo la wife na kisha waweze kunishauri huko huko pm, ama kwa uzoefu wao, pengine washai kuona wadada wenye tatizo kama hili walivofanya, pengine baadhi waliokumbwa na shida kama hii walivofanya, n.k!

Sina tatizo kama na wao ushauri huo watautoa popote pale wanapojua ikiwemo kwa jinsia -me, angalizo ni kuwa: nitakwazika kama member wa jinsia -me atajifanya yeye ni jinsia -ke na kushiriki ktk gumu hili ninalopitia! Seriously nina shida sana!

kwa nini unashindwa kueleza mpaka PM ilhali hatukujui wewe wala mkeo. au ID yako slim5 ndilo jina lako?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom