Strictly for ladies!

Strictly for ladies!

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
Habari za asubuhi wana-JF1

Naomba msaada wenu! Mke wangu ana tatizo la ki-bailojia ambalo sina amani kulimwaga hapa jamvini hadharani, naomba kwa wamama, wadada, members wote wa JF wa jinsia -ke, walio na moyo wa huruma na kuguswa na magumu ya watu hasa wadada wenzao, wani-pm ili niwaelezee aina ya tatizo la wife na kisha waweze kunishauri huko huko pm, ama kwa uzoefu wao, pengine washai kuona wadada wenye tatizo kama hili walivofanya, pengine baadhi waliokumbwa na shida kama hii walivofanya, n.k!

Sina tatizo kama na wao ushauri huo watautoa popote pale wanapojua ikiwemo kwa jinsia -me, angalizo ni kuwa: nitakwazika kama member wa jinsia -me atajifanya yeye ni jinsia -ke na kushiriki ktk gumu hili ninalopitia! Seriously nina shida sana!
 
uko too defensive, kwani hakuna wanaume ambao ni madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake,au wanaume ambao wake zao walipata tatizo kama hilo na walijua jinsi ya kutatua??
 
Sema tu hapa,au JF doctor,ili tuelimike wote,tunatumia fake ID,so hakuna atakaejua...conceal ur identity well ili mradi uelezee tatzo husika,
 
Ongea na Dr Preta hapa......PM siji......mambo uwanjani........nani anakujua.......
 
Sema tu hapa,au JF doctor,ili tuelimike wote,tunatumia fake ID,so hakuna atakaejua...conceal ur identity well ili mradi uelezee tatzo husika,

asiye na akili hana aibu!
 
uko too defensive, kwani hakuna wanaume ambao ni madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake,au wanaume ambao wake zao walipata tatizo kama hilo na walijua jinsi ya kutatua??

Kwa taaluma yao haina shida, shida ni unapoleta assumption kuwa jukwaa zima limejaa madaktari bingwa, wakati wajua humu kuna wanaoamka na kulala na viroba, na kuna wanaofikiri pia kwa kutumia ma**ko! Hawa wote watachangia tu kwa kuwa mada ipo barazani, badala ya kunisaidia wataniumiza!
 
Back
Top Bottom