Salam Namaste Viper.... I am so very happy you have watched this movie... Sikutegemea kua ungei watch this soon... Yaani hatimae nimepata a person i can discuss with about it for ni wachache huweza angalia Bollywood movies... na hii is the type of movie ambae yeyote ambae kweli anapenda movies (hasa international) ata enjoy... naona umeandika kabisa woote waliopo katika the story - na the first thing i thot baada ya kuangalia the first time ni kua Director wake ni Mkareee.... na had an incredible sense of humour...
It is a long movie na i suggest tuanze from couple to couple... na most interesting scenes of the couple.... you will have to choose which you love best then from there tuendelee....
Thank you for watching it....
Nimevutiwa na Ashutosh & Tehzeeb ... mapenzi ya hawa wawili yalivyokuwa complicated na iman za kidini, lakini walikuwa ndani ya mahaba mazito! story yao ingiawa haikuwa na happy ending , maskini yule msichana alipopata ajali .. akamsahau kabisa jamaa! poor guy kajaribu kila njia, nakumbuka shangazi yangu angeona hii science angetokwa na machozi , bolly wood movies huwa zinamtoa machozi
nimefurahishwa sana na story ya priyanka !! actually ame act vizuri mnoo!
Mh siwezi kuangalia jamani machozi yangu yapo karibu bana.
Viper... hio couple ni wale ambao you feel when you see them... yaani mapenzi ya vile ingekua ndio couples zoote zipo hivo nafikiri watu tungekua na amani saana... Napenda msimamo na mapenzi ya dhati ya the guy... binti kamsahau kabisa tokana na ajali - akathubutu kumpleka kwa babake anaemchukia mkewe na kumwambia babake.... kua mkewe hana kumbukumbu yoyote... "Baba tafadhali show her the hate ulikua unampa - labda itasaidia anikumbuke" - i was touched!!
I was more impressed pale yule mkewe alipomwambia sikukumbuki kabisaa na najua you are hurtin, hivo bora nirudishe kwetu... But the guy akamjibu kua "najua kua kweli umenisahau.... lakini siamini kua moyo wako umenisahau pia, thus with time utanikumbuka..."
Dah! This couple.....
Je unaonaje ilie story ya britian ... bado kidogo ifanane na ile movie " I THINK I LOVE MY WIFE" .... ni mitihani kwelijweli inawakumbuka wanaume wengi waliomo ndani ya ndoa .......
kama kweli lile song lao pale gym yule msichana namwambia jamaa " sir watch your steps" nyimbo hii
Uliona yule dogo alivo mtega na ile diary?? Yaani guys are sometimes so thick.... to understand simple signs....lol
mhh!! seriously didi , hata miye ningefanya the same... wanawake ni viumbe wajanja sana na wenye kumsoma mwanaume haraka .. (atafanya nini next) Anjay kanifurahisha sana coz aliweza ku seduce baba wa watu... too bad hawakumpa anjay nafasi kubwa kwenye hii movie
je what about govinda na mzungu wake...
aaisee yule mtoto alikua mzuri mno... hata mume wangu asiposhtuka naweza kua na wasi kua kweli sasa kazeeka (what happens after, that is what we the wives don't want!!) Bana mimi kama mke nashukuru alipewa nafasi ndogo....lol... maana dogo aliumbwa na kuzaliwa kutohoa akili za wanaume... Unakumbuka lile darasa lake la dancing... yaani walikua wanaume tupu....lol... shida sio kujifunza bali kumuangalia...
Imagine the shock alisikia aliporudi down stairs na kukuta the wife anataka kujiandikisha hizo dancing classes...lol
hehehe my last couples ni wale ambao wanajaribu kila njia ta have their fisrt night together ila hawana bahati.. kinda funy
Duuh mmenifanya nikumbuke enzi za Empire cinema, Drive in, Odeon,Avalon simchezoo.
Nitajaribu kuitafuta.
Duuh mmenifanya nikumbuke enzi za Empire cinema, Drive in, Odeon,Avalon simchezoo.
Nitajaribu kuitafuta.
Mtiriko wa masimulizi wa hivyo visa Adii na Viper mmenikuna sana....!
Sijabahatika kuiona....
Ila pia ninatatizo kwenye kushika majina ya Bollywood movie japo nimekuwa nazipenda toka enzi za "Hatiya"....
Guys siju mmeiona ile movie ya Amittah na Tabu wameactia Uingereza....., Amittah anamiliki mgahawa wa kihindi pale mjini london
Ammitah ana miaka 64 kampenda Tabu ana miaka 32.... baba yake Tabu ana miaka 58.....
Siku yule mzee (Baba yake Tabu) anatambulishwa mkwewe ilikuwa balaa!
Baada ya juhudi za kumbembeleza Tabu aachane na huyo mzee kushindikana mzee akatembeza mgomo wa kula...
Saddest thing sikuimalizia hadi leo naitafuta ila sijui inaitwaje wala!!