Stress za kuachwa

Nikiachwa au nikiacha? Sijawahi kuona hayo matendo!!
 
Nafuta picha, msgs, zawadi zako ulizonipa nazitia moto huku nahakikisha vimebaki majivu, namba sifuti sikublock utatoka from bae kua unknown so quick, headset masikioni nasikiliza music huku nikikubali kua tumemalizana
babe huu ujumbe ni wangu au???
 
Hahahaaa
 
Mimi huwa naingia JF katika jukwaa letu Pendwa la mahusiano nachat humu mpaka najisahau kabisa. Nikihisi kumbukumbu zake zinarudi nawapigia wadada ambao ni washkaji zangu alafu tunatalk romantic sana finaly najikuta nimemsahau. Alafu nakaa miaka mitano ndo narudi tena mchezoni haha asira za kirangi acha tu
 
hatari mnooo hayo mambo ya kuachwa asikwambie mtu ".. Ila Mimi kutokana na experience niliyonayo " huwaga sisubiri mambo mpaka yazidi kwenda kombo "
nikiona viashiria vya ajabu ajabu toka kwa mwenzangu ambavyo hakuwaga navyo awali " vinavyoashiria " mabadiliko " yakutokuwepo " uaminifu" huwa naanza" kujitenga Kama maji kwenye mafuta "" Kama hanipigii Mara kwa Mara. " Kama ilivyokuwa awali " na Mimi simpigii " Kama hanifuati " na Mimi simfuati " yaani hivyo " mwisho wasiku Kama alikuwa na dhamira ya kuniacha " inakuwa tumeachana " yaani nikiona tu umeanza kunipotezea " na Mimi nakupotezea aiseee"" ili kuepusha mtafaluku
 
kuna mmoja aliniacha miaka miwili iliyopita,awamu ya hapa kazi akawa anajichekesha,sasa ana mimba ya miezi mitatu..atapata tabu sana,ndo atajua mwanaume jinzi haishi fasheni,nambinua tu na mimba yake
daah ila wanawake jmn na mimba yke bdo anaachia mzgo nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…