Hahaaa mkuu hapo sawa kabisaMm huwa nikiachwa naenda kununua kamba mpya nakuja nafunga kwenye mti kisha naikaza kabisa alafu naanza kubembea kwa raha zangu
Sasa hapo si ndio unakuwa unajikumbushia kabisa?Ninachukua lipstick ninaandika kwenye karatasi “he wasn’t good enough for me” ninaibadika kwenye derssing table. Nikimkumbuka tu ninaisoma ile karatasi.
Mimi End of the road wa Boys II menMiaka Fulani niliwahi kusikiliza Nyimbo za Judy Boutcher Usiku Mzima hadi Ile kanda ikatafunwa, kuna wimbo unaitwa TAKE YOUR MEMORIES WITH YOU WHEN YOU GO!
Hahaa mkuu kama naona jinsi ulivyokuwa unahama mkoaHahahahah kuachwa kunauma Sana, especially Kwa mtu unayempenda!! I used to travel, yaani miaka Ile napanda basi Naondoka kabisa! Siku hizi uzee, Hahahahah
Ninapata massage kuwa I’m better off without himSasa hapo si ndio unakuwa unajikumbushia kabisa?
Hahahahah kuna siku nilisikiliza R. Kelly If I could turn back the time..... Hahahahah tuacheni utani! Jamila analia.... ChameleonMimi End of the road wa Boys II men
Miaka Ile kambi ilikua Tanga, Kwahio naweza kwenda Mwanga, nakumbuka niliondoka Tanga saa nane mchana nikaenda Makambako Iringa miaka Ile, dah!! Sijawahi kumpiga wala kumnunia mtu.Hahaa mkuu kama naona jinsi ulivyokuwa unahama mkoa
Hii nimeipenda sana!Kama nilimpenda kweli...
1. Naliaaaaaaa
2. Naimbaaaaa
3. Natoa picha zangu za zamani naangalia napata kumbukumbu itayoondoa huzuni
4. Natoka kwenda snowcream.... Hapo ntakula flavour zote siku hiyo.
5. Narudi nyumbani naangalia movie hadi usiku wa manane na ntajikuta nimelala sebleni hadi asubuhi.
6. Maisha mapya yanaanza hata nikipishana nae wala sipati huzuni Wala chuki, naona kama njmepishana na mtu ambaye sijawahi kutana nae maishani.
Kasie Matata.
Aisee! Na hii kitu inakuwa ni automatic wala hufundishwi!!Miaka Ile kambi ilikua Tanga, Kwahio naweza kwenda Mwanga, nakumbuka niliondoka Tanga saa nane mchana nikaenda Makambako Iringa miaka Ile, dah!! Sijawahi kumpiga wala kumnunia mtu.
Au sometimes natafuta hotel nzuri saaaana naenda kukaa hapo for a night or two, nilishalala De Francee Hotel Kipindi kile na mara ya mwisho ilikua Landmark Hotel ya Mbezi Wakati ni mpya, two nights Hahahahah
Hahaha hadi yakukute ndio unapata suluhisho hapo hapoAisee! Na hii kitu inakuwa ni automatic wala hufundishwi!!