Strange phenomenon; who am l ?


Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,297
Likes
124,519
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,297 124,519 280
Who am I? You may answer I am me myself and I...! But how??? Tujadili

Kuna maswali mengi yasiyo na majibu au yenye majibu mengi kwa wakati mmoja
Tumekuwa mara nyingi tukisema au tukisikia wengine wakisema, nyumba yangu, gari yangu, mali zangu kazi zangu, roho yangu, mwili wangu pumzi yang nk nk..lakini ulishawahi kujiuliza wewe ni nani?

Mimi kama mimi I do not exist!!! Mimi ni muunganiko wa vitu viwili, mwili na roho/ ufahamu. Bila muungano wa hivyo vitu viwili mimi sipo na kimojawapo hakiwezi kusimama peke yake na kunitengeneza mimi

Mara nyingi roho inapoachana na mwili hubaki mimi ambaye sipo ,na tunapokuwa pale makaburini kuuhifadhi mwili 'wangu' tutasikia maneno kama haya eeh Mungu iweke roho yake mahali pema peponi na mwili wake tunauzika leo

Kwahiyo kuna mwili wangu, kuna roho yangu mimi niko wapi?
Ukiielewa hii phenomenona hutaishi kwa uchoyo uliopitiliza wa kutaka kila kitu kujilimbikizia wewe wakati wengine hawana hutajipenda kuliko wengine wala hutawafanyia wengine ubaya almradi tu ujinufaishe kwakuwa wewe hupo na hutakuwepo...!inaweza kuwa ngumu Kidogo kuolewa na kuikubali hii lakini ndo ukweli ulivyo

Kama huamini jiulize wewe ni nani uone kama utapata jibu moja na la uhakika..!weka dini kando, baki kwenye uhalisia
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,356
Likes
80
Points
145
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,356 80 145
Haya maneno mbona mazito hivi?
Aidha inashangaza yapo muda kitambo hayajadiskasiwa! Ungeweka neno "chupi" au "sidiria" kwenye bandiko (headin) wadau wangeshatia maguu humu kitambo .
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,297
Likes
124,519
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,297 124,519 280
Haya maneno mbona mazito hivi?
Aidha inashangaza yapo muda kitambo hayajadiskasiwa! Ungeweka neno "chupi" au "sidiria" kwenye bandiko (headin) wadau wangeshatia maguu humu kitambo .
Hahahaaaaa,Please mods naomba msaada hii post ihamishiwe habari mchanganyiko...!Please
 

Forum statistics

Threads 1,249,670
Members 481,005
Posts 29,706,921