Storytime: Usiuamini ushungi

Nlipokuwa chuoni wale maninja wa mchana usiku walikuwa wanavaa vimini na suruali, kwenda club na bar....
Walijua wasipofanya hivo hawatapata bwana
wanatumia ndivyo sivyo, imefika hatua mpaka sinaga imani nao kabisa wanao vaaga ivyo, nasema ivyo maana pia apa dar wanao vaa kanzu na vibagarashia wanashinda kwenye majumba ya beeting.
 
We nawe kujitia uko perfect Kuna Haja gani ya kumtoa mtu kasoro za namna hiyo.... Mxiuuu ukute we mwenye una kifilimbi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sista...I am not a female to be a prostitute to begin with....
But still doesn't change the fact that 99% women are prostitutes
Ooh I see, English is problematic with you.

Go read me again, I wrote "peostitution".

Ukienda kwa kahaba unakuwa umefanya ukahaba kama Mzee Yuda na mkwewe Tamari walivyoelezewa ndani ya biblia.
 
Huyo demu nimeshamjua yumo humu jukwaani, anaitwa FaizaFoxy.
Mstue mlejee game anawekua bikira kwa sasa.
 
Kama hutaamini mbona ulikuwa unaiomba...
Kwa msingi wako if you can't prove the existence then it doesn't exist..
Swali😛rove Love, morality and economy exist

Sitaki tena proof

Acha tu

Nimeona na nikahisi kabisa wewe utaongeaaaa mpaka kesho

Na mimi muda huo sina

Tuishie hapo hapo
 
Dah...kilichonikuta Tanga Ni Siri yangu [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona tunakulaga sana!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ni Mkristo lakini huwa nawapenda sana sana hawa wavaa ushungi yaani sijui ni kwann!!! Tena nyeusi nazipenda sana. Na asilimia kubwa ya madem zangu ni hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…