jamaa alipoomba msaada wa konda kwa kuwa hakuwa na nauli, majibizano yalikuwa kama ifuatvyo:
Abiria: Konda naomba nisaidie nauli sina na isitoshe naenda msibani,
Konda: Kama unadhani usafiri ni dezodezo, basi nenda sheli kanywe lita mbili za dizeli halafu utembee mpaka tegeta toka mwenge
Abiria wengine: Acha lugha ya kifedhuli we konda,
Konda: Mlipieni nauli basi kama mnaona akinywa mafuta atachelewa kufika
Abiria wote: Kimyaaaaaaaaaaaaaa!